Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
DownloadHello guys nmekuwa nikusumbuka sana kusolve hili swali kwa calculator Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali Hatimae nililisolve bila shida kwa kutumia emulator ya Casio fx570vn plus.
JE NITAPATA WAPI CALCULATOR HII YA Casio fx570vn plus
View attachment 596635
mi huwa naziangalia kioo, kwa udogo wa hio display kuna uwezekano mkubwa sio,View attachment 596677 View attachment 596677 Kuna moja ninayo hapa ngoja niicheki na niipige picha tuone kama itakufaa nikupe hata bure! Minutes please
hiyo sio mkuu, ni tofauti na aliyoiweka hapo juuView attachment 596677 View attachment 596677 Kuna moja ninayo hapa ngoja niicheki na niipige picha tuone kama itakufaa nikupe hata bure! Minutes please
Poa Poa mkuu!! Nilidhani ni kama hiyo nimpatie maana hapa imekaa bure tu!mi huwa naziangalia kioo, kwa udogo wa hio display kuna uwezekano mkubwa sio,
pitia thread yake aliyolink kuna swali jaribu kulisolve,
Pouwa!hiyo sio mkuu, ni tofauti na aliyoiweka hapo juu
Kati ya hizo na zile za Casio f(x) 991 zipi nzuri zaidi ?umenikumbusha mbali sana, kipindi cha BAM, hizo zinasolve almost paper nzima ya BAM, na zina memory ya kuhifadhi formula. si rahisi kuzikuta maduka official, na nafkiri pia si lazima iwe exactly model hio, utazipata kwa machinga na wauza vitabu wale wanaopanga used used, cheki mjini morogoro road na bibi titi kama unaenda mjini ukikaribia na kituo cha mwendokasi mkono wa kulia kuna jamaa wanauza vitu used pale hata ukikosa watakuelekeza pa kuipata.
hizo ni nzuri mkuu zenye kioo kikubwa, sema inabidi uwe bright kidogo kuzielewa, ni ngumu kujifunza kuzitumia compare na za kawaida na pia haziruhusiwi chumba cha mtihani kama maelekezo yatatolewa.Kati ya hizo na zile za Casio f(x) 991 zipi nzuri zaidi ?
Sijakuelewa. Unamaanisha alizoleta mleta mada ndizo nzuri zaidihizo ni nzuri mkuu zenye kioo kikubwa, sema inabidi uwe bright kidogo kuzielewa, ni ngumu kujifunza kuzitumia compare na za kawaida na pia haziruhusiwi chumba cha mtihani kama maelekezo yatatolewa.
yap ya mtoa mada ni nzuri.Sijakuelewa. Unamaanisha alizoleta mleta mada ndizo nzuri zaidi
umenikumbusha mbali sana, kipindi cha BAM, hizo zinasolve almost paper nzima ya BAM, na zina memory ya kuhifadhi formula. si rahisi kuzikuta maduka official, na nafkiri pia si lazima iwe exactly model hio, utazipata kwa machinga na wauza vitabu wale wanaopanga used used, cheki mjini morogoro road na bibi titi kama unaenda mjini ukikaribia na kituo cha mwendokasi mkono wa kulia kuna jamaa wanauza vitu used pale hata ukikosa watakuelekeza pa kuipata.
Hello guys nmekuwa nikusumbuka sana kusolve hili swali kwa calculator Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali Hatimae nililisolve bila shida kwa kutumia emulator ya Casio fx570vn plus.
JE NITAPATA WAPI CALCULATOR HII YA Casio fx570vn plus
View attachment 596635