Nami pia nina tatizo upandev wa TV yangu kwani upande wa kulia chini rangi zimekuwa "distorted" zinaiingiliana hivi inakuwa kam upinde wa mvua je hilo tatizo lina suluhisho?Kwani wewe upo mkoa gani ningejarbu kukufanyia modification ya power supply kulingana na voltage zake.
hyo mara nyingi inatokana na Htilafu ya CRT.hilo tatzo inapona lakni.
Oky sawa,napatkana RUCO kwa sasa.
Nami pia nina tatizo upandev wa TV yangu kwani upande wa kulia chini rangi zimekuwa "distorted" zinaiingiliana hivi inakuwa kam upinde wa mvua je hilo tatizo lina suluhisho?
Jaribu kutafuta sumaku kisha washa tv na pitisha Sumaku sehemu yenye huo upinde kwa kupeleka juu au chini kulingana na umbali utaokua karibu kwa kuliondoa hilo tatizo, hakikisha kua tv inapokaa hakuna sumaku karibu maana huasababisha hiyo hali.
Kwani wewe upo mkoa gani ningejarbu kukufanyia modification ya power supply kulingana na voltage zake.