naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa down payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.
Nenda mitaa ya Mindu na Malik mitaa ya upanga karibu ya Hospitali ya Muhimbili kuna appartments zinajengwa na kuuzwa...! Jamaa wanauza bei mbaya lakini between 90M to 150 M. Lakini ni appartment nzuri sana mno...!
nenda mitaa ya mindu na malik mitaa ya upanga karibu ya hospitali ya muhimbili kuna appartments zinajengwa na kuuzwa...! Jamaa wanauza bei mbaya lakini between 90m to 150 m. Lakini ni appartment nzuri sana mno...!