Nitapata mke mwema Jf?


Yani haya maandiko kila mtu anajipindishia kwake..Utafikiri imeandikwa mke mwema utampata kanisani kwa kakobe au kwa mtume na nabii..Hao wanaenda kanisani haohao wapo hapa Jf..
BIREGU tulia na kila baraka iwe nawe umpate wa kufanana nawe popote pale Mungu atakapokukutanisha nae
 
Last edited by a moderator:
Imani Imani Imani..... well!
naomba nisiseme kitu kuhusu Imani
 
Thank you!
 
Mke mwema anatoka kwa bwana sio jf. Ila jf yaweza kuwa njia ya kukutanisha nae,,,akili kumkichwa. Mwenye masikio na asikie

Madame B amesikia...
pole mkuu mwenyezi mungu akujalia haja wa moyo wako
 
Last edited by a moderator:

Hata waliookoka ni wachache sana wanaweza kuisikia sauti ya Roho Mtakatifu kwa kiwango hicho na kumtii..Ndio maana mtume PAULO alionya kuhus viwango vya imani katika kanisa na kusema wale wenye imani kubwa wasidharau wenye imani ndogo na kila mtu atende kwa kadri ya imani yake..Lakn huwezi kumhukumu mtu eti sio wa Mungu kama imani yake ni haba. Na kwa dizaini hii ndio maana kufunuliwa fake kwa wachumba kumezidi makanisani na ndoa zao ni ndoano vilevile bora hata ndoa za mataifa zina furaha na upendo
 
Yaani umefika kabisa, malaika wa bwana kaniambia wewe utakuwa wangu nami wako. Sitokuangusha wala kuwa na tamaa za Aston martin wakati uwezo wetu ni VW. Nitaahidi kukupenda kwa dhati mpaka mwisho wa dahari.
 

kumbe!
 

utapata tu we nenda jukwaa la LOVE CONNECT
 
Mungu atakusaidi utapata kupitia hapa hapa jf, endelea kumuomba Mungu
 

Im born again,ila kazi ipo!
 
Poule, hop utapata, zidisha sala........last week si ulitoa tena tangazo, hukupata??
 
Mke mwema anatoka kwa bwana sio jf. Ila jf yaweza kuwa njia ya kukutanisha nae,,,akili kumkichwa. Mwenye masikio na asikie

Anaweza akatoka jf pia kwani Mungu anapoamua kumpa mtu mume au mke mwema huwa anawatoa sehemu special?
 
...........a u serious!if yes ni PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…