kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,030
- 6,559
Yap mwaka huu....nilifuta zote ila leo nimerudisha moja pale lolote na liwe tuu
oryt...vip naweza jua idadi ya waliomba bcom account na ba in economics.....?......
Yap mwaka huu....nilifuta zote ila leo nimerudisha moja pale lolote na liwe tuu
Unaweza kupata hiyo "FAKART YA BARCH OFART WITH EDUCATION" ila Degree programme ya Bachelor of Arts with Education sahau.... you can't be serious... Kweli matunda ya shule za kata yameanza kuonekana.
O'LEVEL una ''Cut off point'' ya ngapi? Maana UDSM huwa wana ''consider'' zote mbili!!
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma hkl je nitapata udsm fakat ya barch ofart with education mwaka huu
msimtishe kihivo jamani.inategemeana kwa kila mwaka matokeo yakoje.matokeo yakiwa yakawaida basi anaweza compete.watu mwakajana mbona wamepata baadhi.unaweza kuta wewe wa tano kwa mwisho umebahatika.unN hv wanaotakiwa UDSM BA.ed_1600
walioomba 4000
Eligible_1400
Kati ya hizo eligible walioaply Ba.ed kama first choice n 746 nazani ka zitabakia hv ilvo atapata nafasi udsm 100% au mnaonaje wakuu
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU