Nitapambana na Lyatonga 2015

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Kama ni kosa walifanya watu Vunjo ni kuchagua Lyatonga Mrema aka mzee wa kiraracha. Mzee huyu ni balaa tupu hamna cha maana anachofanya bungeni zaidi ya kubwabwaja tuu akijifanya mpinzani kumbe hamna kitu. Namwambia akae mkao wa kutoka na watu wa vunjo tusirudie kosa tena huyu ni kibaraka wa CCM.
 
kupitia chama gani??? umeongea na Deo Mrema?
 
mkuu tumeshaanza kujiandaa kuchukua hili jimbo
 
Wakuu huku Iramba mashariki moto niliouwasha hauzimiki milele! 2015 mtaniona nimejaa mjengoni tele nikiwa na hoja za wanyonge. Kila mtu kwa nafasi yake awe catalyst ktk kufanikisha ukombozi wa kweli.
 
Akili yangu hapa inanikumbusha kule Vunjo tayari atasimama J.Mrema,aliyesimama dhidi ya Lyatonga Mrema mwaka 2012 ama yeye amejitoa tayari?
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.
 
Akili yangu hapa inanikumbusha kule Vunjo tayari atasimama J.Mrema,aliyesimama dhidi ya Lyatonga Mrema mwaka 2012 ama yeye amejitoa tayari?
huyu J Mrema namsubiri kwa hamu 2015
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.

Huo Mwaka hata wajukuu zako hawatakuwapo pamoja na wewe
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.
Aisee parefu hapo, 2915 - 2011 = 903, ingekuwa zamani miaka ya kwenye biblia basi tungefika, lakini miaka 903, dah! kweli atakuwa hoi, mimi na wewe pia tutakuwa hoi!!
 
huyu ndio Mrema mwenyewe

Hahahhahh hiyo picha imenifurahisha sana. Alisema hawabebi zege bungeni. Du akikurupuka hapo, atagonga meza au aombe mafao yake ya cheo alichokuwa nacho cha Waziri mkuu msaidizi.
 
Mrema Lyatonga Agustine hafiki 2015, mark my writings
 
huyu ndio Mrema mwenyewe

hapo wajiandae na uchaguzi mdogo tu hakuna mbunge hapo bana..2015 mbali mnooooo...huyu si ndo alisema mheshimiwa mwenyezi mungu naomba utupe katiba mpya
 
Mrema Lyatonga Agustine hafiki 2015, mark my writings

Do sasa Rev serikali haina hela hizi chaguzi ndogo zitakuaje? Igunga ilikuwa noma pesa nyingi ilitumika sasa kuna Arumeru Mashariki na hayo majimbo mengine katiba lazima ibadilishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…