Nyikanavome JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 487 Reaction score 181 Sep 29, 2010 #1 Nina blakbery storm 9530 lakini sina usb cable yake na ningependa nijue ni duka gani hapa mijini dar es salaam naweza kupata. Natanguliza shukran
Nina blakbery storm 9530 lakini sina usb cable yake na ningependa nijue ni duka gani hapa mijini dar es salaam naweza kupata. Natanguliza shukran
ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Sep 29, 2010 #2 kunaduka pale magomeni mikumi nakumbuka siku za nyuma wakati nipo dar niliwah kumuelekeza kyera boy jf mwenzetu akapata. Ukishuka daladala pale magomeni mikumi kuna fundi simu edo. Jirani kuna duka la vifaa vya simu na simu. Go there.
kunaduka pale magomeni mikumi nakumbuka siku za nyuma wakati nipo dar niliwah kumuelekeza kyera boy jf mwenzetu akapata. Ukishuka daladala pale magomeni mikumi kuna fundi simu edo. Jirani kuna duka la vifaa vya simu na simu. Go there.
Nyikanavome JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 487 Reaction score 181 Sep 29, 2010 Thread starter #3 Ahsante ThinkPad nitaenda kuangalia kama nitapata; nitatoa feedback