Nitaondoaje tatizo la giza kwenye PC...?

Nitaondoaje tatizo la giza kwenye PC...?

Boniphace17

Senior Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
118
Reaction score
42
Habari zenu wana Jf,,
kuna tatizo linanisibu, lililoanza mara tu baada ya kupiga windows kwenye mashine yangu.. Tatizo lenyewe ni giza kubwa kwenye display!
Naomba mwenye kufahamu ni vipi naweza kuadjust mwanga kwan nimejaribu shortcut ya Ctrl...shift na up arrow haijafaa!
Natanguliza shukrani
 
mkuu kuna njia mbili hapo

1. Kupunguza na kuongeza mwanga.

Sio lazima iwe ctrl na shift maranyingi inakua fn ndo inayotumika bonyeza fn na arrow ku adjust mwanga.

Sometime pia mashine nyengine si arrow zinazotumika so we mwenyewe kua smart angalia vialama vya mwanga vimekaa kama vijua vipo wapi.

2. Display light ipo off
kama display light umeieka off hata uongeze na kupunguza mwanga haitasaidia so hapa solution ni kuiturn on.

Bonyeza fn na button moja wapo kati ya (f1, f2, f3,..........f11 na f12) mara nyingi button yenyewe imekua imechorwa kialama cha screen na x (eksi).

Pia kua makini fn+ hizo button inaweza kudisable vitu vingi kama touchpad, camera na vyenginevyo.
 
pia, angalia kama ni window 7 inawezekana uja i activate, ukichelewa inakuwa hivyo,....na kudisable mambo meng ikiwemo display na internet...
 
pia, angalia kama ni window 7 inawezekana uja i activate, ukichelewa inakuwa hivyo,....na kudisable mambo meng ikiwemo display na internet...

wangu uko more than right.. I thout mordem yangu ina tatizo coz pia cpati access internet...
So naweza kumaliza tatizo kwa kupiga window upya na ku-activate??
 
wangu uko more than right.. I thout mordem yangu ina tatizo coz pia cpati access internet...
So naweza kumaliza tatizo kwa kupiga window upya na ku-activate??

nenda kule jf store kuna loader uactivate hiyo windows yako..
 
Back
Top Bottom