nitamwambia nini mke wangu hili shati?

nitamwambia nini mke wangu hili shati?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BWM0bbTIIAATp3u.jpg:large
 
mwambie hivii... '' sio hili tu, yapo mengine 20 kwenye begi, mwaka huu lazima uhame humu ndani'' ... game over!
 
wakati napanda daladala kuelekea mbagala kuna dada kagusa shati langu.
 
Ntamwambia "..hata mimi ndio naona sasa hivi, sijui kilichotokea. Yaani kweli kama ningeona kitambo ningeacha tu bila hata kufanya maarifa yeyote? Hapa kuna mtu ana hila na ndoa yetu!"
 
Hapo ukidanganya, au ukisema ukweli hakuna ahueni. All in all ukidanganya hautafika mbali utajichanganya tu!
Unaweza kusema basi lilifunga breki ghafla akaniangukia shingoni ha ha ha....but busu lipo kimadaha dahhhh....mbona kingeeleweka siku hio
 
Rangi za mdomo hatari sana! Yaani shati loo!
 
Mwambie ulikuwa unagombania daladala ukagusana na mdada akakuachia alama
 
Ntamwambia "..hata mimi ndio naona sasa hivi, sijui kilichotokea. Yaani kweli kama ningeona kitambo ningeacha tu bila hata kufanya maarifa yeyote? Hapa kuna mtu ana hila na ndoa yetu!"

Hahahaaa Nimeipenda hii
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BWM0bbTIIAATp3u.jpg:large
usiogope mbona mambo madogo tu hayo kwan aliyekupaka hafai kuwa mke0 ??????????
 
Attachments

  • 1526493_1447044682190309_1339329773_n.jpg
    1526493_1447044682190309_1339329773_n.jpg
    14.9 KB · Views: 395

Similar Discussions

Back
Top Bottom