nitamwambia nini mke wangu hili shati?

nitamwambia nini mke wangu hili shati?

Unaweza kusema basi lilifunga breki ghafla akaniangukia shingoni ha ha ha....but busu lipo kimadaha dahhhh....mbona kingeeleweka siku hio

Na kana kwamba haitoshi, lazima nika mshushie tsunami huyo aliyesababisha hayo yote, lazima atakua na makusudi tu! Hawezi niweka alama kwenye shati langu wakati anajua kabisa inaonekana kwa watu. Mwisho wa yote, kubaki kwenye njia kuu ndio jambo la busara.
 
Hapo ni kwenda kununua shati lingine tu na hilo unalitupa kabla ya kufika home.
 
Mwambie huyo ni mke wa bosi wako so akipoga kelele atakusababishia wewe ufukuzwe kazi na ndio utakuwa mwisho wake wa kuulizia bei za vitenge vipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom