Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?
Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?