Nitamuadhibu yupi?

Nitamuadhibu yupi?

Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.

Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?

Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?
Subiri kwanza.Hapo ulipoandika..."kwa simu ya mama watoto"...!Ni kiswahili cha wapi hicho?Kwa nini unaandika kama mtoto?
 
"NIAMBIE MY LOVE WANGU"
Mpaka mwanaume anafika wa kuandika ujumbe kama huo tayari wamekwenda mbali, hapo hamtongozi, alishatongozeka tayari....
Pole ila ndio ukweli huo.
 
Subiri kwanza.Hapo ulipoandika..."kwa simu ya mama watoto"...!Ni kiswahili cha wapi hicho?Kwa nini unaandika kama mtoto?
Ni mama wa watoto wee ulitaka nimiteje ? Ni yeye aliyewazaa watoto hata wewe unajua hiloshida mpaka watu wanataka kufanya DNA test ni sisi tunaotaka kujiridhisha inapotokea mama huyu aliyeandikiwa MY LOV WANGU huku ww unaishi naye ULITAKA NIMUITEJE???🤪🧐
 
Haujaelewa swali.Mtu akikutamkia...naenda kwa nyumba"...!Utamuelewaje?
 
Kinachoonekana.
  • Alishagongwa tayari
  • Kinachoendelea sasa hivi ni utaratibu wao waliojiwekea
  • Mkeo anakudharau kimahusiano, ndio maana amekujibu kirahisi.
Ufanye nini sasa.
  • Usihangaike na huyo mwanaume, pambana na mkeo (zuia mbuzi wako asile majani nje, na si majani yasiote nje)
  • Mpe mapumziko ya miezi sita, na umwambia hivi 'nakupatia miezi sita ukaishi na huyo mwanaume, mkishachokana ndio urudi'
  • Akikataa hiyo, mpe rikizo ya miezi mitatu, arudi kwao.
Na unapotoa hayo maamuzi, utumie sauti ya kiume.
Hapo atajuta kosa, na atakuheshimu.
 
Haha anamtongoza sio ndo amuandikie nambie my love wangu

Kwa akili ya kawaida mtu kama hana chembe ya mamlaka kwa mtu hawezi andika hivyo

Ni mawili wife ameshakubali tayari au ameshaliwa kimasihara
 
Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.

Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?

Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?
Dawa yake ni kutulia usimwadhibu yeyote lakini hakikisha wote wanajua kuwa unajua.
Uwasalimie kama kawa kwa uchangamfu.

Mpe mkeo likizo kitandani yaani tulia tuliii usimguse wala usimfokee pia.

Hii ni adhabu mbaya kuliko kupiga.
 
Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.

Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?

Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?
Akipata mpya na we tafuta mwenye tako
 
Huyo hatongozwi tena huyo ni mpenzi wa yule jamaa kwani huielewi sms!
NIAMBIE MY LOVE.
 
Back
Top Bottom