Nitamuachaje tuliyependana?

Nitamuachaje tuliyependana?

halafu ukirogwa hapo,utawalaumu wachawi kweli mkuu?
 
Kwani huwezi kumwambia samahani huko tuendako mimi na wewe hatuna future?
Unaanzaje aiseeee......kama mie naweza ingia na maneno ila natoka kimya kimya mwendo wa silence

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
You are not a man enough mkuu, mwanaume anaongea kwa mdomo.
 
Yan ww mwanafunzi wa chuo mpuuz kweli hujui kama uku kuna sisi walimu wa chuo unatuambia upuuzi
 
Unaanzaje aiseeee......kama mie naweza ingia na maneno ila natoka kimya kimya mwendo wa silence

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Mkuu please please please siku moja tupia hapa ile story yako ya kutapeliwa kwenye mapenzi ya kwenye mtandao hadi ukasafiri kutoka Dar hadi Lagos for nothing!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom