Mwenzako anakupenda ila hajui ni namna gani akupende. Teach her how to love you, sio kazi ngumu.
Hakuna mwanamke or for that matter mwanaume asiye na mapungufu, ila ukiwa na juhudi atakuelewa tu. Mwambie na rudia tena kumwambia, kitu gani unataka afanye na kipi asifanye.
Usimwache au kumdharau mwanamke anayekupenda, mtengeneze a-fit kwenye dunia yako. Utajakutana na wale ambao bila fedha haji kwako. Utarudi tena JF kusema wanawake wa siku hizi wanapenda sana fedha. You will never know the value of what you have till it's gone