Nitamtoaje huyu virus anaye-fill the free space kwenye hard disk, nimechoka ku-restore my computer

T3RN3K

Member
May 30, 2011
92
56
guys kuna haka ka-virus kananikera kweli, kanafill empty space kwenye my hard disk with files i cant see!! pls hlp me on how to gt rid of thng!!!
 
Hata mimi imenitokea hii leo. Kuna mtu alikuja na flash yake ghafla nkakuta hard disk zangu zote mbili zinakaribia kujaa ikabaki space kidogo tu ya MB kadhaa. Nitafurahi kupata msaada wakuu.
 
Jaribu click kwenye harddicks nenda kwenye my properties tafuta sehemu iliyoandikwa diskdefragmentation click hapo utaulizwa do u want 2 defragment yo hard disk click halafu utaona usizme machine hii ktu ikiwa kwenye process
 
Inaelekea computer yako iko protected na weak Antivirus. Jaribu kutumia Bitdefender naamini itasafisha uchafu wote huo baada ya deep scan.
 
The easiest approach ni kujaribu kutumia linux-ubuntu.si lazima ufanye installation,weka cd au dvd yenye ubuntu,boot from cd then endelea kufuata simple screen instructions hadi utapoona flash yako au drives zako.open your hard drives or flash na utaweza kuona suspicious files zimewekewa x au red mark.Delete hayo ma-files.
 
Wanakudanganya mwaya hao wote, noja nikutumie pini au sindano ya kushonea au hapo ulipo kama utapata mwiba au kitu chenye ncha kali kinaweza saidia sana, ikishindika kabisa, chukua sabuni na maji mengi loweka kwanza then I am sure baadae itakua imetoka. Just kidding bana, well zingatia ushauri uliopewa hapo juu.
 
Format pc kisha Weka kaspesky anti-virus..nimeshawahi kuexperience hili tatizo.
 
guys kuna haka ka-virus kananikera kweli, kanafill empty space kwenye my hard disk with files i cant see!! pls hlp me on how to gt rid of thng!!!
hehe pole saana bwana mkubwa that virus ni rahisi saana kumtengeneza na kusambaza kwa wengine to recover the freespace you have to manually delete the file which is not going to be easy coz huwa ipo kwenye program files on the windows directory hapo bana jus format tha thing...
 
pls dont format your computer ngoja nikusaidie, ila ili nikusaidie nahitaji ushilikano wako computer yako itakuwa na aina furani ya malicious programs ambazo zinarun in background, yaani background process, zinachofanya ni kucopy files kutoka kwenye flash ambayo itakuwa connected to your computer na kujaza hard disk space. Sasa cha kufanya kwanza ni kujua ni aina gani ya file linalo coz hilo tatizo fungua task manager cheki ni process gani zinarun kuna proces kama update.exe zinamchezo huo kinachofuata ni kujua location la hilo file ili kujua proces location u need to have this program unlocker.exe ni free na size ni ndogo u can download it .
 
pls dont format your computer ngoja nikusaidie, ila ili nikusaidie nahitaji ushilikano wako computer yako itakuwa na aina furani ya malicious programs ambazo zinarun in background, yaani background process, zinachofanya ni kucopy files kutoka kwenye flash ambayo itakuwa connected to your computer na kujaza hard disk space. Sasa cha kufanya kwanza ni kujua ni aina gani ya file linalo coz hilo tatizo fungua task manager cheki ni process gani zinarun kuna proces kama update.exe zinamchezo huo kinachofuata ni kujua location la hilo file ili kujua proces location u need to have this program unlocker.exe ni free na size ni ndogo u can download it. Baada ya installation nenda kwenye drive iliyokuwa affected right clic it na go to unlocker then unlocke itafunguka itaonyesha proces zote zinazorun kwenye hiyo drive unlock proces ambazo unawasiwasi nazo becarful not to kill or unlock windows files coz ni os files . Nitaendelea umeme ukirud
 
The easiest approach ni kujaribu kutumia linux-ubuntu.si lazima ufanye installation,weka cd au dvd yenye ubuntu,boot from cd then endelea kufuata simple screen instructions hadi utapoona flash yako au drives zako.open your hard drives or flash na utaweza kuona suspicious files zimewekewa x au red mark.Delete hayo ma-files.
nitajaribu hyo!
 
pls dont format your computer ngoja nikusaidie, ila ili nikusaidie nahitaji ushilikano wako computer yako itakuwa na aina furani ya malicious programs ambazo zinarun in background, yaani background process, zinachofanya ni kucopy files kutoka kwenye flash ambayo itakuwa connected to your computer na kujaza hard disk space. Sasa cha kufanya kwanza ni kujua ni aina gani ya file linalo coz hilo tatizo fungua task manager cheki ni process gani zinarun kuna proces kama update.exe zinamchezo huo kinachofuata ni kujua location la hilo file ili kujua proces location u need to have this program unlocker.exe ni free na size ni ndogo u can download it. Baada ya installation nenda kwenye drive iliyokuwa affected right clic it na go to unlocker then unlocke itafunguka itaonyesha proces zote zinazorun kwenye hiyo drive unlock proces ambazo unawasiwasi nazo becarful not to kill or unlock windows files coz ni os files . Nitaendelea umeme ukirud
asante kwa ushauri, lakin hapa c ntakuwa nafanya gueswork ambyo inawza ikasababsha kufuta system files!
 
this is gud but u may not be able to locate huyo virus au hayo mafile yaliyojaza hard disks
 
hehe pole saana bwana mkubwa that virus ni rahisi saana kumtengeneza na kusambaza kwa wengine to recover the freespace you have to manually delete the file which is not going to be easy coz huwa ipo kwenye program files on the windows directory hapo bana jus format tha thing...
but i need 2 knw da source! Kuformat na kuinstal windows plus drivers kila wakat takes time mkuu!
 
Tupa hiyo computer yako imeshakuwa ya zamani. Kwanza si ilikuwa mtumba? Sasa usinunue tena mtumba, nenda kanunue kitu mpya, siku hizi mpaka kwa installment unalipa halafu hakikisha unaweka anti virus za uhakika na si za piracy.
 
asante kwa ushauri, lakin hapa c ntakuwa nafanya gueswork ambyo inawza ikasababsha kufuta system files!
hapana si gueswork ilishanitokea mimi hili tatizo kila wakati computer yangu ilikuwa inaful hard ndio nikagundua ni aina fulani ya virus anakopi the entire flash to your hard disks na sehem huwa yana pelekwa ni kwenye directory au folder named Document and settings in local disk c na yako hidden
 
Tupa hiyo computer yako imeshakuwa ya zamani. Kwanza si ilikuwa mtumba? Sasa usinunue tena mtumba, nenda kanunue kitu mpya, siku hizi mpaka kwa installment unalipa halafu hakikisha unaweka anti virus za uhakika na si za piracy.
Sorry bro hilo tatizo la jamaa si hardware problem anaweza kununua mpya siku hiyo ikakumbwa na the same tatizo
 
Tupa hiyo computer yako imeshakuwa ya zamani. Kwanza si ilikuwa mtumba? Sasa usinunue tena mtumba, nenda kanunue kitu mpya, siku hizi mpaka kwa installment unalipa halafu hakikisha unaweka anti virus za uhakika na si za piracy.
natumia hp probook, 230gb hdd, i3 procesor (@2.6ghz), 4gb ram! Antivirus zote ni sawa b t legal o illegal. If u cnt help kaa pembeni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom