Ni ngumu coz tuna mtotoTafita ex mtarajiwa mwengine,halafu vunja,pasua,kemea na ufute kabisa mawasiliano na huyo x wa sasa..
Ndo mwanaum niliependa anioe jaman nina machungu mda mwingin akinipigia cm nakat akituma,message sijibu ila hasira zikiisha nampigia,ye,anapokea,tu hata hakat mi nafanya,coz,nina,hasira kwanini tumeachana
Kuna mtu,yupo,tayari,kunioa,na anajua nina,mtoto ila mi simpendi kabisa,sina hisia nae,na moyo unakataa,kabisaTafita ex mtarajiwa mwengine,halafu vunja,pasua,kemea na ufute kabisa mawasiliano na huyo x wa sasa..
Jipe muda, usiwe na haraka utapata tu suluhisho.Tumeachana mwezi wa kwanza lakin mi bado nampenda na ninamkumbuka mda wote chanzo mara ya kwanza akaomba yeye tuachane sababu ni kwamba kila kitu nalalamika kusu yeye akanambia kwamba mimi naona sikudeserve tuachane ugomvi ulikuwa mkubwa ndugu wakaingilia kati wakatupatanisha mapenzi yakaendelea ugomv wa sasa chanzo ni mimi ataki kunisamehe kabisa ila nikimpigia anapokea cm tunaongea tu poa ila sio mambo ya mapenzi tena nifanyej bado roho inaniuma!! Nikisikia saut yake nikishakata cim roho inauma nataman tuendelee kuongea tu najisikia raha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kuna jamaa anaenda kujivisha bomu la nyuklia... Daaaah.... Namuonea huruma sana huyo mwambaKuna mtu,yupo,tayari,kunioa,na anajua nina,mtoto ila mi simpendi kabisa,sina hisia nae,na moyo unakataa,kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mwanaum niliependa anioe jaman nina machungu mda mwingin akinipigia cm nakat akituma,message sijibu ila hasira zikiisha nampigia,ye,anapokea,tu hata hakat mi nafanya,coz,nina,hasira kwanini tumeachana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kuna jamaa anaenda kujivisha bomu la nyuklia... Daaaah.... Namuonea huruma sana huyo mwamba
Yani jamaa hajielewi kabisa... Mamanzi kibao mtaaniInaonesha hata akiolewa, ex akilegeza kidogo tu anajitafunia. Mumewe anatakiwa atembee na kipimo Cha dna mfukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kuna jamaa anaenda kujivisha bomu la nyuklia... Daaaah.... Namuonea huruma sana huyo mwamba
Hapo ndio pale tunaposhikwa wawili mpaka kumi, huku mkisomwa nani yuko serious,na hapa ndipo ninapowaheshimu wanawake,halafu wote mnapewa mapenzi bila kujuana,atakayeonesha userious ndio anaoa.Wanaonekana kama dhaifu kimwili lakini kiroho ni hatari sana...Pigania penzi lako lakini Huyo anayekupenda ukiwa na mtoto ambaye si wake usimdharau na kumkata moja kwa moja, huwezi jua Moyo ni kiungo tricky sana. Kuna siku unaweza kuamka ukaangalia nyuma ukasema daa... Why not him?
Unapopenda usiishie kuingia kwenye ndoa sababu unapenda tu, jiulize umependa nini? Sawa umeshapenda, then what is next?
Pole sana,yawezekana wewe ndio tatizo kwenye hayo mahusiano lakini unataka unyenyekewe huku ukisahau kua duniani amnaga single baba wala mwanaume aliezaa!!Ndo mwanaum niliependa anioe jaman nina machungu mda mwingin akinipigia cm nakat akituma,message sijibu ila hasira zikiisha nampigia,ye,anapokea,tu hata hakat mi nafanya,coz,nina,hasira kwanini tumeachana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayesababisha wanawake waliozalishwa bila ndoa kudharauliwa ni nyie wenyewe wanawake, sasa wewe mzazi mwenzio alishakuacha umepata bwana wa kukuoaa bado unataka kurudiana na alokuzalisha,utapigwa danadana utakuja kushtuka umri umeenda utabaki kudanga na kusema wanaume wote mbwa wakati wenzio wanaenjoy ndoa zao!!!!Mimi pia namwonea huruma mno. Ni bora akanywa sumu aissee kuliko kuchukua huyu mwanamke aliyezalishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman msiombe mtu umpende amenifanyia mambo mengi sana still nataman uwepo wake! Yan nikisikia saut yake bado naifeel mwili unataman awe ata karibu tulePole sana,yawezekana wewe ndio tatizo kwenye hayo mahusiano lakini unataka unyenyekewe huku ukisahau kua duniani amnaga single baba wala mwanaume aliezaa!!
Kua na mtoto nae haimanishi utakua nae,kama ulikua hujui singel mama wanatengenezwagaje basi nenda kwenye kioo na utakae muona huko basi ndio product kamali ya single mama ikiwa imekamilika kwa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mwanamke atakaekuw nae najisikia wivu sana kwan alikuwa ananifikisha nafurah kun stail moja tu ndo nainjoy ntampata nan tena atakayeweza ili! Utamu wake naujua mm jaman naumiaJaman msiombe mtu umpende amenifanyia mambo mengi sana still nataman uwepo wake! Yan nikisikia saut yake bado naifeel mwili unataman awe ata karibu tule
Sent using Jamii Forums mobile app