econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,908 Reaction score 39,569 Dec 21, 2024 #1 Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
LorenzoA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,889 Reaction score 17,753 Dec 21, 2024 #2 Pambana Kamanda.. TL awe makini ... Labda ahamie ACT aingie bungeni.. ila mbele yake peusi sana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,129 Reaction score 195,905 Dec 22, 2024 #3 Kila la kheri... Cc: Mahondaw