nitampataje

Nipe maelekezo nikuchoree mchoro kama FBI, vinginevyo usubiri akutafute baada ya kupigwa chini na jamaa yake kutokana na kumpiga sana mizinga!
 
mhmh mtihan mzito ila kwn hupajui anaposoma au kashamaliza na km kashamaliza hebu jaribu kwenda kumulizia hapo alipokuwa au anaposoma utampata 2 uckate tamaa kwn milima kwa milima haikutan bt binadamu kwa binadamu wanakutana so kaza moyo konde uckate tamaa na ukiachilia hvy utazid kuumia kwa mawazo utakuja kuwa km diamond kwa mawazo
 
Kumpa bussnesscard haikua njia sahihi kwa muda ule ilikua umpe pesa ya vocha ya kukupigia au wewe uchukue no yake ili uweze kuendelea kueleza hisia zako yeye alikua ametulia anataga wewe ndio umefika bei rudi chuo tena
 

Undo hizo process hadi hapo pa chakula...
Lazima atakuja tena hapo kuwinda...
 
Hiyo sim aliyopokea ni ya yule aliyekuwa anamsubiria hiyo sehemu ya chakula, ndio maana alivyoona muda unakaribia msela wake kufika akakuzuga umsindikize darasani.

mzee umetisha kwa kuwajua hao watoto wa chuo,,,wana balaaa wee acha tuu!!!
 

Ulisikia jinsi babu alivyokuwa anacheka? Kumpata msichana pekee anayefahamu kuendesha baiskeli zama hizo! Niliipenda sana....
 
Du business card tena, yawezekana aliona business card yako ni ya kawaida sana akaamua kupotezea.Wewe ndugu yangu unashindwa kuchukua namba anaacha vijikaratasi ambavo anaweza hata akakipoteza ama akakifulia kwenye nguo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…