nitampataje

Yaani ulimkuta kakaa na misosi ambayo hana appettite nayo, na kisha ukalipia na kumshawishi kula?
Naomba tukutane udasa lunch time tafadhali.
hapana! hakuwa na chakula ila alikuwa anafikiria ale nini mimi ndo nikamshauri chakula ambacho anaweza kula na nikakilipia,poa niprivate kwa namba yako nitakuja
 
Rudi chuo kamsake tena usikubali kumkosa.....!!!!!
Afu wanachuo huwa hawahitaji maneno mengi, ile b'card uliiambatanisha na pesa au kadi tu chukuchuku?
yap! nilimwachia na elfu 10
 
kuwa na subira wahenga walisema SUBIRA HUVUTA KHERI NA MVUMILIVU HULA MBIVU cjui ya kweli au yalikuwa maneno tu?
 
Mmmh pole...huyo ninamashaka nae pili wewe hata kwenye kutongoza unatoa business card?

Hahaha aisee tafuta kozi bwana...it shuld be exchange of numbers not one way around
asante kaka amenipigia leo siamini
 
kuwa na subira wahenga walisema SUBIRA HUVUTA KHERI NA MVUMILIVU HULA MBIVU cjui ya kweli au yalikuwa maneno tu?
asante kaka kweli subira uvuta heri leo amenipigia simu siamni
 
wela wela welaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mtoto kanitafuta leo jaman
 
Kaka kuna business card nimeikuta kwenye dust bin..sio yako kweli?ngoja niiscan niiweke hapa
 
So do u tell her...... exactly what u feel ??
 

si urudi tu pale chuoni......usiniambie huna muda kwa sababu kama kweli umempenda utapata muda....
 
unanikumbusha stori ya mkuu wa mkoa wa zamano morogoro Mashishanga alivoonana na binti ambaye alikuja kumuoa...eti alikuwa kahama kwenye theatre kama daktari basi kapita binti anaenda kwa mgonjwa, akatega. Wakati anarud akapta spidi,sasa mzee mashishanga akatoka theatre na kumfuata,binti akatimka mbio,jamaa akafukuza bila mafanikio,akarudi theatre na mawazo lukuki , akakata tamaa...Mungu bariki baada ya wiki binti akarud hops.then jamaa akafuatilia tena ndo ukawa mwanzo wao...very interesting...msubiri mola atakujibu.
 
kamngojee pale pale atakuja tena.

usikate tamaaa
 
wela wela welaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mtoto kanitafuta leo jaman
Alisoma uzi wako humu jamvin akaona si vbaya akikutafuta,sasa angalia usijeshndwa kuhifadhi namba afu uje tena kutuambia hukuhifadhi namba zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…