Nitampataje? nipeni mbinu wadau

aisee, nenda serikali ya mtaa unaweza pata taarifa muhimu kabisa....
 
Ilikuwa wazo la kawaida tu kwamba mtu anayeitwa miss mara nyingi huwa hajaolewa ila sikuwa na maana mbaya kwako .
Sasa hapo sijui nilikukera wapi ndugu

ujanikera mkuu am just joking nothing serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…