Binti yangu Susy, usiwe na wasiwasi kwa maana hilo kama kweli ni hitaji lako, naomba nikupe dondoo kidogo:-Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
Wewe ndo una tatzo utaendelea tafuta mme mwe vigezo unavyotaka hadi Ukongoroke, Mme ni mme tu ili mradi mpendane kwa dhati!! Kwanza tutake radhi cie weusi na wafupi kwa kashfa zako.
:coffee::coffee::coffee::coffee:Jamani binafsi nadhani hiyo sio kashifa, kwa sababu hata mimi napenda mwanaume mweusi kuliko mweupe. Hili nalo ni factor katk mahusiano kwa sababu nafsi yangu inamkubali mtu mweusi na mrefu kidogo kuliko mweupe mrefu, tena akiwa mweupe mfupi ndo kabisaaa sitaki hata kumtamani.
Susy nakushauri kitu kimoja vigezo 5 vyote ulivyotaja hapo unaweza kuambulia mwanaume mwenye vigezo 2 au 1 sasa kama utakuwa unahitaji mwanaume mwenye vigezo vyote usijidanganye unaweza kuishiwa kuchezewa bure halafu watu wakalala mbele be careful on what you are looking for kuna mambo ya msingi zaidi kuliko hivyo vigezo ulivyovitaja hapo.
Nafikiri unge-base zaidi kutafuta mwanaume ambaye utasaidiana naye kulea na familia na mwenye malengo hayo mengine ni muonekano wa mtu tu pia tabia ya mtu na vigezo ni vitu viwili tofauti unaweza ukapata mwanaume mwenye hivyo vigezo vyote lakini akakupa-frustrations mpaka ukajuta all in all muombe Mungu akupe mume mwema Mungu siku zote ukimuomba mkate hawezi kukupa jiwe so hauna budi kutanguliza maombi yako mbele za Mungu kwanza tena ikibidi hata kwa kufunga.
KILA LA HERI.
TF.
Jamani binafsi nadhani hiyo sio kashifa, kwa sababu hata mimi napenda mwanaume mweusi kuliko mweupe. Hili nalo ni factor katk mahusiano kwa sababu nafsi yangu inamkubali mtu mweusi na mrefu kidogo kuliko mweupe mrefu, tena akiwa mweupe mfupi ndo kabisaaa sitaki hata kumtamani.
Haitaji mume huyo, unataka mwenye feature wewe feature unayo? Weupe au ufupi ndio nini kwenye ndoa. Watakumega sana halafu watakuacha kwenye mataa kwa sababu huangalii mambo ya msingi
Maneno yako swadakta mkuu huwezi amini nimejaribu kumsaidia kusachi kwenye google napata results kama zako tena baada ya kubadilbadili ila ukiweka kama anavyotaka yeye inajibu NO RESULTS FOUND:A S thumbs_down:
Kwa nini huyu dada ameiga avatar yangu? huyu ana kashfa na ni nungayembe la mjini tu hili hana lolote, we dada badilisha hiyo avatar usinisababishie ban bwana?
sasa susy hivyo nilivyobold hapo,
vina umuhimu gani kwenye mahusiano ya ndoa?
Hapa mtihani kama ndio muzee wa Maty katika kuPM ukaangalia picha unaweza kukuta unamtongoza upya mamsup! Nimejaribu kumPM nikashituka namPM Maty duh!!!:twitch: