Nitampata wapi mwenye mapenzi ya kweli?

Nitampata wapi mwenye mapenzi ya kweli?

shabaan Dogo

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
196
Reaction score
82
Naombeni kujua mapenzi ya kweli yanapatikana kwa njia gani au utajua vipi kuwa mwenzio anakupenda ukweli. Katika maisha haya nilipendana sana na dada mmoja nilimpenda kweli hadi siku 1 akaniambia Shab mwanzo nilikuona kama wakawaida sana lakini sas anaamini unanipenda, sijaona upendo kama huu.

Na mimi nitaulinda upendo wako. Tuliishi vzuri iku moja akaniambia Shab usiwe unapenda namna hii utaumia sana kweni kwa jinsi ninavyoona upendo wako mwanamke mwengina angekunyanyasa sana naomba ubadilike. Baada ya siku kadhaa nilitambua kua ni mke wa mtu. Niliumia sana na mapenzi yetu yaliishia hapo.

lakini hadi sasa ni miaka 5 bado na mkumbuka sana. Nimekaa miaka 3 bila kuwa na mpenzi. Mwaka jana nlikua na binti lakini nilimpenda na hata sasa nampenda lakini hatuna maelewano mazuri kwa jinsi anavyo taka kuniburuza kama mzoga kwasababu kagundua nampenda kweli. Nitampata wapi mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na kulihifadhi pendo langu?Nani yupo niari kuupokea moyo wangu ?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mapenz ya kweli yanapatikana jf..ngoja waje
 
duh...jamani mkiwa mnatafuta wapenzi humu muwekage na kapicha
 
Nipe mimi huo moyo unisaidie kuwapenda kama wewe lakini wewe baki mwenyewe unipe moyo tu
 
Shab leta limoyo lako kwangu hakika hutojuta kunipata kwasababu hata Mimi napendaga kama wewe
 
kazi ya moyo ni kusukuma damu mwilini dogo huko kupenda ni kiherehere tu
 
These 2 simple rules may help you 1.Take it easy 2.you are responsible for your own happiness 3.give her some space.4.love yourself na nyingne nying ila usioverexpect kwenye mapenz especially ya SKU hz.gd luck
 
hamna mapenzi ya kweli dunia hii...labda mbinguni
 
Yapo. Omba Mungu.
Ila kuchapiwa ni siri ya ndan
 
Heeeeee yani hayo mapenzi hayaeleweki unayemoenda hakupendi usiye mpenda anakupenda ........we yaache yasikuumize kichwa...angalia michakato mingine..
 
Back
Top Bottom