Nitampata wapi mwenye mapenzi ya kweli?

Nitampata wapi mwenye mapenzi ya kweli?

Tafuta hela, yani hela tu...kila mtu ni mpenzi wa kweli

na Mimi nikuulize, mapenzi ya kweli yakoje? kama unayajua, utampata mwenye hayo mapenz ya kweli, but kama huyajui endelea kutoyajua ndo utaishi nao kwa aman hao wenye mapenz ya kweli(kama bado wapo lakin)
 
HAkuna mapenzi ya kwel kwan neno mapenz tu lenyew c la kwel kwann ww utake ukwel wa nn
 
ushauri mzuri mentor,kila kitu kina mda wake,kabla ya kumkubalia mtu mchunguze kwanza wengine wanapenda kuharibia wenzao maisha.be careful people.
How old are you young brother!

Get busy na maisha..yatakuja tu.
 
Mapenzi ya kweli yapo, tena sana ila lazima uuambie moyo wako ukweli.... Moyo ukishajua ukweli utajifunza kupenda namna ya kuleta mapenzi ya dhati.
 
Hivi ninani alisha jiuwa kwa ajili ya mapenzi ya mm / bb ?
Mapenzi ya wazazi ni tofauti na mapenzi ya gerlfriend na boyfriend/ mapenzi ya kindoa.
Huu unyo sema haya ni moyo ndo unaobeba mzigo huo wa love.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom