klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 27
Habari wakuu,
Ninasumbuliwa na macho,ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo?
Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
Ungecheki ccbrt
Ccbrt kunakuaga na foleni sana mkuu.
nenda pale kona ya kigogo kuna hospitali ya prof mtanda wa muhimbili ni mzuri sana