Labayka
Kim nana.
Kwa bahati mbaya sina hicho kitu hapa karibu lakini kwa kuwa mkuu Mlupembe amefunguka ya moyoni naomba nimsindikize na Zuhura Shaaban hapa akisema ...Oh my darling.
Kwa kweli ni raha sana pale mwandani wako anapofungua moyo wako dhahiri.
Jamani
Mlupembe hajarogwa amependwa tu mpaka amejua raha ya kupendwa.