Mtoto mzuri sana wa kimarangu😁 sema sikuchukua namba kabisa. Jamaa alikuwa anatoa macho sana.Jamaa angeanza kuisi usamlia vyake, inauma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta jani la ndimu au limao gusisha kwenye k kabla likinyauka kimbia mbio sana
Au Akupeleke kwa Mpalange mana kule hakuna tego uhangaike na tope tu basi
We jamaa bana, kama nakuona jinsi unavyojilaani kwa kuchepuka na mtu asiye na viwango kumzidi mke wako, unatakiwa uchepuke kwa akili:-UPDATES.........
Nashukuru kwa ushauri wenu, zoezi lilishakamilika Jumapili, leo ni siku ya 5 tangu tuunganishe vitendea kazi vyetu. Nilifuata comments za baadhi ya member humu kwakweli sikunaswa na Tego. Naipenda sana Jf.
Binti alikuja nikamtendea haki, ingawa kiukweli bora tu hata nisingehangaika naye, amezidiwa sana na mke wangu, yaani unatakiwa uchepuke na mtu mwenye viwango zaidi ya mke au mme wako. Hiyo ndiyo kanuni yangu. Hajui deodorants, hajishughulishi kwenye game na hana tunyama nyama, napendaga vibonge wa size ya kati siyo wembamba.
Asanteni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa bana, kama nakuona jinsi unavyojilaani kwa kuchepuka na mtu asiye na viwango kumzidi mke wako, unatakiwa uchepuke kwa akili:-
1. Chepuka na mwanamke mwenye viwango kumzidi mkeo
2. Hata mkeo akiwaona akupongeze kuwa umejua kuchagua.
3.Hata mkifumaniwa wafumaniaji wapate wivu.
4. Chepuka kwa malengo.
5. Sio kila shimo unatia tu "mengine mashimo ya panya"
Laiti kama ungenasa ningekusendia lile jani PM [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Na matusi juu,duh!!.Mambo yote unayosita kuyafanya tambua kuna madhara mbele yake, hata kama si tego jambo hilo lishakua na tafrani nakushauri liache usijekujuta bure BUMBAFU ZAKO MZINZI
Test na kidole ikinasa kata papuchi yake uondoke na kidole chakoKuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi.
Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa baridi sana, na akifosi sana lazima kikwazo kitokee hadi inashindikana. Kuna siku alijiandaa hadi eneo la tukio lakini simu zake nikizitazama tu bila kupokea. Na tukitofautiana baada ya muda tunarudisha mahusiano tena.
Sasa kesho tumepanga kukutana na kwakuwa anasafiri wiki ijayo, na atakaa muda mrefu kidogo huko, kasema ni lazima tuunganishe vitendea kazi vyetu, na mimi nimeshaandaa mazingira ila moyo haufurahii ingawa mm ni mtokaji kweli kweli. Yani kuchepuka nachepuka sana tu ila huyu binti, nadhani Mungu Kuna kitu ananiepusha.
Kama hana ngoma, basi ana tego. Siyo bure, kwa ishu ya HIV najipanga na ndom ila hili tego!! No!
Fumanizi sina hofu mana nimejipanga vema.
Nitagunduaje Kama mwanamke kategwa?
UPDATES.........
Nashukuru kwa ushauri wenu, zoezi lilishakamilika Jumapili, leo ni siku ya 5 tangu tuunganishe vitendea kazi vyetu. Nilifuata comments za baadhi ya member humu kwakweli sikunaswa na Tego. Naipenda sana Jf.
Binti alikuja nikamtendea haki, ingawa kiukweli bora tu hata nisingehangaika naye, amezidiwa sana na mke wangu, yaani unatakiwa uchepuke na mtu mwenye viwango zaidi ya mke au mme wako. Hiyo ndiyo kanuni yangu. Hajui deodorants, hajishughulishi kwenye game na hana tunyama nyama, napendaga vibonge wa size ya kati siyo wembamba.
Asanteni.
Fanya haraka basi manake hapa nimezikumbatia naogopa hata kutoka nje. Chukua bodaboda fasta... ukija utanipeleka hadi nyumbani halafu mi n'tachukua shiling elf 7 tu za mboga na zitakazobaki zote nitakupa ukazitunze kwako!Uwiiiiiiiiih nakuja hapo hata usipate shida kubeba miwani yako ile, mieeeh ntakuhesabia vizuriiiiiih bhabha. Huhuhuj lol
Panga litakatikaje mkuu ? Au unaliwekaje ?[SUB]Naomba nikiri kuwa hizi njia nilipewa na mtu anayejua kutengeneza hayo matego huko Mtwara zamani sana na sijawahi kuzijaribu popote! Hivyo kila kitu hapa ni at ur own risk![/SUB]
[SUB]1. Jani la mdimu (mti unaotoa ndimu), chuma jani lililo bichi kabisa then mkifika eneo la tukio liweke kwenye uke wake. Likinyauka ghafla kimbia mbio ndefu hapo hapafai![/SUB]
[SUB]1. Weka panga chini halafu aliruke, likikatika hapo toka mbio ndefu hapafai. Lisipokatika huyo yupo vizuri kula bila hofu![/SUB]
Ita kuhunt whether you no it or not....Hamna kitu aseeh ,siku hizi watu wanakula tu na bado wanauchubua uso wa mbuzi. Inauma lkn ndiyo ukweli mchungu
Yes hiyo ni kweli ila heri ya nusu shari kuliko shari kamiliUle usile vya wenzako ,haigurantee vyako kutokuliwa. Walimwengu hawajali na hawana huruma