Nitamjuaje mwanamke aliyewekwa tego?

Nitamjuaje mwanamke aliyewekwa tego?

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,093
Kuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi.

Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa baridi sana, na akifosi sana lazima kikwazo kitokee hadi inashindikana. Kuna siku alijiandaa hadi eneo la tukio lakini simu zake nikizitazama tu bila kupokea. Na tukitofautiana baada ya muda tunarudisha mahusiano tena.

Sasa kesho tumepanga kukutana na kwakuwa anasafiri wiki ijayo, na atakaa muda mrefu kidogo huko, kasema ni lazima tuunganishe vitendea kazi vyetu, na mimi nimeshaandaa mazingira ila moyo haufurahii ingawa mm ni mtokaji kweli kweli. Yani kuchepuka nachepuka sana tu ila huyu binti, nadhani Mungu Kuna kitu ananiepusha.

Kama hana ngoma, basi ana tego. Siyo bure, kwa ishu ya HIV najipanga na ndom ila hili tego!! No!
Fumanizi sina hofu mana nimejipanga vema.

Nitagunduaje Kama mwanamke kategwa?

UPDATES.........
Nashukuru kwa ushauri wenu, zoezi lilishakamilika Jumapili, leo ni siku ya 5 tangu tuunganishe vitendea kazi vyetu. Nilifuata comments za baadhi ya member humu kwakweli sikunaswa na Tego. Naipenda sana Jf.

Binti alikuja nikamtendea haki, ingawa kiukweli bora tu hata nisingehangaika naye, amezidiwa sana na mke wangu, yaani unatakiwa uchepuke na mtu mwenye viwango zaidi ya mke au mme wako. Hiyo ndiyo kanuni yangu. Hajui deodorants, hajishughulishi kwenye game na hana tunyama nyama, napendaga vibonge wa size ya kati siyo wembamba.
Asanteni.
 
Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.

Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
Ni kweli hii? Au joke mkuu.
 
mambo yote unayosita kuyafanya tambua kuna madhara mbele yake, hata kama si tego jambo hilo lishakua na tafrani nakushauri liache usijekujuta bure BUMBAFU ZAKO MZINZI
Kima mweusi wewe.
 
Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.

Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jipange kisaikolojia kijana kikinuka utajua jinsi ya kufanya
 
Kuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi.

Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa baridi sana, na akifosi sana lazima kikwazo kitokee hadi inashindikana. Kuna siku alijiandaa hadi eneo la tukio lakini simu zake nikizitazama tu bila kupokea. Na tukitofautiana baada ya muda tunarudisha mahusiano tena.

Sasa kesho tumepanga kukutana na kwakuwa anasafiri wiki ijayo, na atakaa muda mrefu kidogo huko, kasema ni lazima tuunganishe vitendea kazi vyetu, na mimi nimeshaandaa mazingira ila moyo haufurahii ingawa mm ni mtokaji kweli kweli. Yani kuchepuka nachepuka sana tu ila huyu binti, nadhani Mungu Kuna kitu ananiepusha.

Kama hana ngoma, basi ana tego. Siyo bure, kwa ishu ya HIV najipanga na ndom ila hili tego!! No!
Fumanizi sina hofu mana nimejipanga vema.

Nitagunduaje Kama mwanamke kategwa?
Kama watu mnawaza kuzini tu ccm tutashinda Sana chaguzi zijazo🤨🤨
 
Chukua jani lolote bichi litangulize kule kunako. Likinyauka kimbia sana [emoji28][emoji28][emoji28]
 
mambo yote unayosita kuyafanya tambua kuna madhara mbele yake, hata kama si tego jambo hilo lishakua na tafrani nakushauri liache usijekujuta bure BUMBAFU ZAKO MZINZI
😃😃😃, Mkuu ameomba ushauri ili kujua Kama atakutana na tego halafu wewe unamtukana!?😂
 
[SUB]Naomba nikiri kuwa hizi njia nilipewa na mtu anayejua kutengeneza hayo matego huko Mtwara zamani sana na sijawahi kuzijaribu popote! Hivyo kila kitu hapa ni at ur own risk![/SUB]

[SUB]1. Jani la mdimu (mti unaotoa ndimu), chuma jani lililo bichi kabisa then mkifika eneo la tukio liweke kwenye uke wake. Likinyauka ghafla kimbia mbio ndefu hapo hapafai![/SUB]

[SUB]1. Weka panga chini halafu aliruke, likikatika hapo toka mbio ndefu hapafai. Lisipokatika huyo yupo vizuri kula bila hofu![/SUB]
 
Back
Top Bottom