Nitamjuaje mwanamke aliyewekwa tego?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu anakuona ujue lol!

Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.

Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
 
[SUB]Naomba nikiri kuwa hizi njia nilipewa na mtu anayejua kutengeneza hayo matego huko Mtwara zamani sana na sijawahi kuzijaribu popote! Hivyo kila kitu hapa ni at ur own risk![/SUB]

[SUB]1. Jani la mdimu (mti unaotoa ndimu), chuma jani lililo bichi kabisa then mkifika eneo la tukio liweke kwenye uke wake. Likinyauka ghafla kimbia mbio ndefu hapo hapafai![/SUB]

[SUB]1. Weka panga chini halafu aliruke, likikatika hapo toka mbio ndefu hapafai. Lisipokatika huyo yupo vizuri kula bila hofu![/SUB]
Hatari sana mkuu inatisha na inataka moyo
 
Kuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi.

Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa baridi sana, na akifosi sana lazima kikwazo kitokee hadi inashindikana. Kuna siku alijiandaa hadi eneo la tukio lakini simu zake nikizitazama tu bila kupokea. Na tukitofautiana baada ya muda tunarudisha mahusiano tena.

Sasa kesho tumepanga kukutana na kwakuwa anasafiri wiki ijayo, na atakaa muda mrefu kidogo huko, kasema ni lazima tuunganishe vitendea kazi vyetu, na mimi nimeshaandaa mazingira ila moyo haufurahii ingawa mm ni mtokaji kweli kweli. Yani kuchepuka nachepuka sana tu ila huyu binti, nadhani Mungu Kuna kitu ananiepusha.

Kama hana ngoma, basi ana tego. Siyo bure, kwa ishu ya HIV najipanga na ndom ila hili tego!! No!
Fumanizi sina hofu mana nimejipanga vema.

Nitagunduaje Kama mwanamke kategwa?
Hakuna kosa kubwa kamakumlia mwanaume mke wake... Ita ku hunt whether you know it or not.
 
Mkuu utaweza masharti?
 
Hivi unaakili ww au ni mpumbavu? Yan mke wa mtu unamng'ang'ania had uhakikishe umezini nae alaf unaomba na udhauri kabisa we bora ufumaniwe ufe tu
 
mwache aende akanase, mungu hutuepusha na majanga kupitia roho zetu bt hua tunachukulia poa ndo maana mara nyingi majuto hutuandama.
Ila uyu jamaa wala hajazamilia kumla mke wa mtu kama angeitaji kumla kitambo tu angeshamla
 
Mtoa mada itafute hii movie "TEETH" uiangalie
1594396189682.jpg
1594395769433.jpg
1594395800078.jpg
1594395879049.jpg
1594395852597.jpg

Utapata cha kujifunza
 
Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.

Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
Hahahaha
We jamaa una Ufala mwingi sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu anakuona ujue lol!
Yah! Tena nadhani Mungu kanipa zigo la thawabu kwa kutoa ushauri bora kwa vijana wetu wanaosumbuliwa na mambo madogo madogo tu wakati kaka zao tupo!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ogopa fumanizi lol
Keshasema "kufumaniwa ni uzembe" kwahiyo mtu mzima Ramea hawezi kufumaniwa kwa sababu wanaofumaniwa ni wazembe na yeye sio mzembe!!

Hoyaa Ramea, huyu cocastic asikutishe wala nini... si ajabu anamuonea wivu tu huyo manzi wako, mtoto ang'avu, mke wa mtu mtamu!! Kwanza siku hizi unafumaniwaje kwa mfano?! Wote mkipiga barakoa, mnaweza kupishana na mumewe kwenye korido na wala asiwajue.
 
Back
Top Bottom