Nitamhakikishiaje kuwa tumeachana?

Nitamhakikishiaje kuwa tumeachana?

Kitu kikishafanyika can only be 4given but not 4goten!.....kusameh ni ize sana ila kusahau ni ngumu mnooo.....so juc giv it some time! Alweyz time heals.....
 
mchepuko sio dili baki njia kuu hv mchepuko.anakitu gani kipya kinacho mzidi mkeo ? acha maneno tunza mkeo man
 
hiyo kitu inauma sana sbbu alikuamini sana akikaa akikumbuka tu hasira zinaanza ila pole kwa yaliyokukuta
 
Ila mkuu mchepuko mtamu kma nn

Ila al muhimu kuwa mume bora tuu zidisha ujendo na mjali kama ndo unaanza kumfukuzia vile ata amin

Ila anahaki ya kulalama
 
Ni wanawake wa siku hizi yu na wakristo ndo wana mawivu ya ajabu ajabu ila mwanamke hajaumbwa na wivu sana ...we mpende tu na vumilia atakusamehe labda km ulikuwa humjali atahisi amechunja ila km ulikuwa na mapenzi motomoto kwake atahisi tamaa tu..
 
Kaza mwendo kumgegeda shemeji atajirudi tu ataona luwa huna mchepuko tena kwa vile unavompelekea fire lakini kama humgegedi kisawasawa ataona unandelea na mchepuko pia mpe maneno mazuri wakati wote
 
sasa huyo mkeo analia nini? mshamba tu huyo yaani anataka umgegede yeye tu hapa duniani. acha avimbe apasuke
 
mimi hata nikimfumaniua mume wangu wala simaindi nitamuambia tu piga mashine vizuri ndo kazi mungu aliyokuletea hapa duniani ila nibakishie na mimi.maisha yaendelee
 
Her heart is broken, she is trying to pick up the pieces, what are you doing to help her with that?

Mkeo anakupenda sana ndio maana unaona bado anaumia, forgiving is one thing forgetting is another

The thing is ratiba zako za kazi za kisafiri bado zipo palepale, it is the same opportunity you used kumsaliti, kwa hiyo a minute you walk out that door she cant help thinking you are doing the same

Trust imeshavunjika, the only thing you can do is being close to her than ever ili Love hisipotee sababu kitakachofuata hapo nyumba itakuwa chungu
 
Atasemehe lakini kovu kwenye moyo wa mwanamke haliishi kamwe hasa kovu kama hilo aliloshuhudia kwa macho yake kwnye cmu. Halitakaa liishe hata ufanyeje, hilo ni doa tayar kwnye ndoa yako.. Jtahidi tu kujali familia yako na kuwa na mkeo muda mwngi ukimuonyesha unampenda na kumjali, Na kweli shetan alikupitia..!! Pole sana kwa hilo
 
Umemuumiza sana mkeo inaonyesha alikuamini sana so inampa tabu sana
Kuwa mpole tu kwani Hilo haliishi leo Wala kesho baada ya muda kidogo labda na kwa hali aliyonayo saiv ukafanya madudu mengine ndo utazidi kuharibu ndoa itavunjika hiyo
 
"...Jambo baya zaidi kuhusu kuvunja kiapo cha ndoa ni pale mwenza wako anapogundua kuwa kamwe hukuwahi kuwa mwaminifu..."

PADRI
 
endelea kumtendea mazuri,atasahau.dawa mda hapo
ila omba Mungu asichepuke kulipiza.
 
Onesha matendo yanayoashiria umeacha tabia yako ya zamani, rudisha upendo kwa mkeo, nahisi atarudisha uaminifu kwako.
 
Back
Top Bottom