Hii umeipost kimakosa au?? mbona haiendana na maada tajwa hapo [emoji115]??Ok Ok ni Kweli sukari inapatikana Ila kwa bei ya juu kidogo tofauti na chumvi ambayo ina kazi nyingi sana Ila inapatikana kwa foleni maana hata mimea nayo imegoma kuzalisha chumvi. Hata kwenye kupiga kura jina lake lilikosewa Ila Alipiga kwa Leseni ya gari na kura yake ikaharibika.
Sio kosa lake Ila salary ilichelewa kutoka na watumishi hewa wakageuka kuwa Mvua. Naamini kwa sera hii ya kuiba vifaru itasaidia kuongeza ajira na kubambikiana kesi za kijinga.
Hii umeipost kimakosa au?? mbona haiendana na maada tajwa hapo [emoji115]??
Habari zenu JF
Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana
Na yeye ndo alionesha kunipenda zaidi.. Alikuwa mckivu sana na mvumilivu pia..
Ilifikia wakati hawezi hata kumckiliza hata mama yake ikiwa ni kwa ajili ya kutetea penzi letu
Co cri mi nilijivuna kwa kupendwa kiasi kile.
Nilianza kuhisi kuwa Hawezi kuniacha kwa lolote lile.. Hata nikimuudhi kiasi gani nilijua atanisamehe tu.. Kwa mapenzi yale.
Sasa nikaanza kuwa huru kupitiliza.. Nikawa si hofii tena kwa na mchepuko.
Nilianzisha mahusiano na msichana wengine akiwa anajua ninampenzi kabla yake.
Mwanzoni tuli-date kwa siri ila baadae mchepuko alianza kuona kuwa yeye Ndio anaenistahili mimi zaidi.. Basi alianza kufanya harakati za kuvunja mahusiano aliyoyakuta.. Alimtumia picha nilizopiganae.. Na hata videos tulizojirecord na txt za hapa na pale hadi alifanikiwa kupoteza mapenzi ya yule mpenzi wangu..aliniacha akaenda zake
Sasa huku nyuma nikabaki na huyu pasua kichwa.. Nilijionea tabia chafu zote niliwahi kuzickia na ambazo ckuwahi kuzickia.
Mbaya zaidi tulipima afya ila bahati mbaya alikuwa ameathirika.. Na bahat nzuri kwangu ni kwamba ckuwa nimeambukizwa.
Niliamua kumuacha na kurudi kuomba msamaha kwa kipenzi changu cha zamani.
Ila kwa bahati mbaya ameshachumbiwa tayari na utambulisho pia.
Ila bado anasema ananipenda sana. Yupo tayari hata kuvunja uchumba na kurudi kwangu tena maana asema mi ndo ndoto yake
Nipo njia panda ndugu zangu.
Nashindwa kukubaliana na maoni yake ila moyo wangu bado unampenda sana pamoja na wivu mwingi
Unapotezea thread za wenzio " ukifanyiwa wewe hivi ulivofanya utajiskiaje acha utoto wewe ' mbona alichoongea ni jambo ambalo lipo kabisa na linatokea katika maisha halisiOk Ok ni Kweli sukari inapatikana Ila kwa bei ya juu kidogo tofauti na chumvi ambayo ina kazi nyingi sana Ila inapatikana kwa foleni maana hata mimea nayo imegoma kuzalisha chumvi. Hata kwenye kupiga kura jina lake lilikosewa Ila Alipiga kwa Leseni ya gari na kura yake ikaharibika.
Sio kosa lake Ila salary ilichelewa kutoka na watumishi hewa wakageuka kuwa Mvua. Naamini kwa sera hii ya kuiba vifaru itasaidia kuongeza ajira na kubambikiana kesi za kijinga.