Nitakwepaje hili kwa my x?

Nitakwepaje hili kwa my x?

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Habari wakuu,

Ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe, nimeumia hadi nimekuwa sugu, kinachonileta kwenu ni hiki, wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?

Nilichukia sana nikamjibu mkubalie, akadai nitamcheka , ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja, kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui.

Kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana, wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini nataka nifaulu plz nipeni mbinu.
 
Mambo ya wanafunzi haya...ngoja wenzio waje!

wenzangu kina nani?wote watu wazima,mkuu kama huna la kuchangia ww pita,maana baada ya kuachana na Huyu MTU sijawahi kuonana nae,now tumemaliza field na sio kila anaesoma ni pupils hope umeelewa,naamini kuna waliopitia situation kama yangu watanipa mbinu
 
jitahidi kuwa biz, nenda class inapobidi tu , amini yatapita tu. mnasalimiana ?
 
mh! sijaelewa una maana gani?hao niliowataja mfano mkuu smile anadai x is a total destructor,hope anaweza Kunipa mbinu za kumwepuka

I meant hamna mtu anayekutaka?
 
Baada ya kukuacha anakutambia anatakwa na mwanamke mwingine.....anaonekana anataka kukuumiza nawe mpoteze kuwa busy na masomo yako huna haja ya kuwa karibu nae
 
kuwa busy na onyesha kuwa humkumbuki wala huna tym nae ye mwenyewe atapotea,mi imenitokea tena kila kazi nikawa napresent nae ila nlikuwa hata akichekesha najikaza sicheki tena ndo nasema" hebu tumalize kazi jamani mtacheka bdae" basi akawa akikaa na mimi anakwazika tuu so nae akawa anakwepa maudhi.
muonyeshe kuwa humfikirii wala humfurahii. hawa wanaume ni wasumbufu sana huwa hawajui maana ya kuachana
 
MY EX!!!!! hivi sku hizi hata shuleni watu wanaowana na kuachana?!!..kaazi kwelikweli.
 
Wee mpotezee tuu kua bize na yako wala uconyeshe unakwazika juu yake na ww mtoe kwenye akili yako na utamsahau pole pole na utamwona wa kawaida.
 
MY EX!!!!! hivi sku hizi hata shuleni watu wanaowana na kuachana?!!..kaazi kwelikweli.

ili mtu awe ex-girlfriend wako mpaka muwe mmeoana na kuachana?
Chuoni sio kila anayesoma ni mtoto mdogo wengine wapo na age ambayo inawaruhusu kuoa kabisa na wana kazi zao! Therefore kama anataka mchumba lazima apate hapo hapo!
So dont judge that way!
 
The basics hapa ni mawili,SOMA SANA kashakuacha umeumia na shule pia ikushinde,naaah,make sure unafauluuu tena kuliko yeye ikibidi.,DATE OTHER GUYS inahusu kukaa na maumivu ye ana mtu mwingine,he no longer cares ,get to know other men,(dont sleep around,utajuta) and have funnnn ,utamsahau yeye na maumivu,and it will give u a better chance to meet a potential suitor...
 
MY EX!!!!! hivi sku hizi hata shuleni watu wanaowana na kuachana?!!..kaazi kwelikweli.
Ndugu yangu wanachuo wa kiume ni zaidi ya boko halamu,watu washawaoa watoto wa watu bila wazazi wao kujua mwanaume anapewa haki zote kama mwanandoa.noumaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom