Nitakwenda Marekani kupitia Puerto Rico

Nitakwenda Marekani kupitia Puerto Rico

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
539
Reaction score
1,541
Kutoka Tanzania kwenda Puerto Rico ni rahisi sana kama kwenda Uganda Kenya na Burundi. Nikifika Puerto Rico kuingia New York ni kugusa tu kwasababu Puerto Rico ni sehemu ya Marekani.

Sitawafundisha kila kitu kwaheri, endeleni kusema Marekani kuingia kugumu.
 
Back
Top Bottom