Nitakuwa wa Mwisho Kuamini CHADEMA wanahamia Mikocheni

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,776
Reaction score
34,762
Nilisema naachana na jukwaa la siasa sababu ya kuwa busy na mrembo wangu cute wife. Lakini kwa hili la kuhama ufipa na kwenda Mikocheni lazima niseme jambo.

Moja ya sifa kubwa ya hawa wenzetu ni uongo, wamekua waongo karibu kila kitu, ndio maana unaona hata kwenye suala la bandari wanaendelea kutema uongo wao. Kiufupi bila uongo hawawezi kuishi.

Sasa bwana jana na leo kuliibuka eti wamepata ofisi mikocheni, Kama kawaida nikazama ndani ya vyanzo vyangu humohumo chamani kwao. Wana nia tu ya kuhamia mikocheni lakini bado hawajahamia sababu kuna mambo yao hayapo sawa.

Chanzo kingine kinasema ni dili la mtu, wanaenda kupigwa kwenye kodi. Kuna hatihati wakalipishwa Kodi mara mbili ya uhalisia. Kama mfano mwenye jengo anataka milion 2, Kuna mjanja atawaambia ni millioni 4

Bado majadiliano yanaendelea, hawajaifikia muafaka.

Hata hivyo kuhamia huko ni ngumu na sidhani Kama itawezekana. Nitakua wa Mwisho kuamini.

Msiamini story za magazeti, ukweli huo nimewapa. Gazeti hilo ndio liliandika habari ya hawa jamaa kujenga jengo lao hili, uliza lipo wapi? Jengo hili chini liliandikwa front page, ulizo lilipo
20230701_200703.jpg
 
View attachment 2676556
Nikki Minaji tangu udhalilishwe na huyo Mke wako bado hujakaa sawa kihisia. Nenda hospitali bro
 
Haifahamiki kama unalalamika au unalia
 
Nimemtumia email Mhe. Mnyika, siku ya ufunguzi wa Jengo lao mapema mwezi Ujao uwe sehemu ya Waalikwa.

Maana inaonekana wewe ni Mabaki ya kizazi cha Bwana Thomaso aliyekataa kukubali Yesu amefufuka hadi amguse mikono ili kuona zile alama za misumali 😅
 
Nimemtumia email Mhe. Mnyika, siku ya ufunguzi wa Jengo lao mapema mwezi Ujao uwe sehemu ya Waalikwa.

Maana inaonekana wewe ni Mabaki ya kizazi cha Bwana Thomaso aliyekataa kukubali Yesu amefufuka hadi amguse mikono ili kuona zile alama za misumali [emoji28]
Vyoo tu kusafisha pale ufipa mmeshindwa. Ndio mtaweza kwenda Mikocheni
 
Kuna kampuni imepewa tender ya usafi, kwasasa ukiingia chooni unakutana na harufu nzuri ya manukato kama ile ya Pale CCM makao makuu inapotokea wana ugeni wa Kamati Kuu 🤪
 
Nilisema naachana na jukwaa la siasa sababu ya kuwa busy na mrembo wangu cute wife. Lakini kwa hili la kuhama ufipa na kwenda Mikocheni lazima niseme jambo.

Moja ya sifa kubwa ya hawa wenzetu ni uongo, wamekua waongo karibu kila kitu, ndio maana unaona hata kwenye suala la bandari wanaendelea kutema uongo wao. Kiufupi bila uongo hawawezi kuishi.

Sasa bwana jana na leo kuliibuka eti wamepata ofisi mikocheni, Kama kawaida nikazama ndani ya vyanzo vyangu humohumo chamani kwao. Wana nia tu ya kuhamia mikocheni lakini bado hawajahamia sababu kuna mambo yao hayapo sawa.

Chanzo kingine kinasema ni dili la mtu, wanaenda kupigwa kwenye kodi. Kuna hatihati wakalipishwa Kodi mara mbili ya uhalisia. Kama mfano mwenye jengo anataka milion 2, Kuna mjanja atawaambia ni millioni 4

Bado majadiliano yanaendelea, hawajaifikia muafaka.

Hata hivyo kuhamia huko ni ngumu na sidhani Kama itawezekana. Nitakua wa Mwisho kuamini.

Msiamini story za magazeti, ukweli huo nimewapa. Gazeti hilo ndio liliandika habari ya hawa jamaa kujenga jengo lao hili, uliza lipo wapi? Jengo hili chini liliandikwa front page, ulizo lilipo
View attachment 2676556
We WALI tangia Utombewe na Kabudi na baadae Kudhalilisha na Mkeo umeamua kuwa Bwabwa sasa rasmi
 
Haifahamiki kama unalalamika au unalia
Mi nawaza tu.

Basi itokee iwe kweli, au kwa sababu yoyote ile patokee tatizo na CHADEMA washindwe kuingia kwenye jengo hilo..., mbona itakuwa ni kizaazaa?

Siyo kwa furaha ya hawa machizi wataniwenu; lakini nahofia tu wananchi watalichuliaje swala kama hili?

Ni jambo dogo, lakini uaminika wa chama utaharibika sana, na hawa hawa machizi ndio watakuwa mstari wa mbele kuwananga kwa wananchi!

Usiombee pawepo na dosari kama hiyo wakati huu.
 
Akili inayowaza mwanamke muda wote haina maana kwa maendeleo ya taifa, sio ya kuhangaika kuijibu.
 
Mi nawaza tu.

Basi itokee iwe kweli, au kwa sababu yoyote ile patokee tatizo na CHADEMA washindwe kuingia kwenye jengo hilo..., mbona itakuwa ni kizaazaa?

Siyo kwa furaha ya hawa machizi wataniwenu; lakini nahofia tu wananchi watalichuliaje swala kama hili?

Ni jambo dogo, lakini uaminika wa chama utaharibika sana, na hawa hawa machizi ndio watakuwa mstari wa mbele kuwananga kwa wananchi!

Usiombee pawepo na dosari kama hiyo wakati huu.
Lile jengo kwa sasa ni la Chadema namfahamu hadi estate agent aliyefanikisha dili ile!
 
Back
Top Bottom