hapana usifanye hivyo... Kuwa na mazoea ya kuongea na mwanao, muelimishe, mpe madhara ya mapenzi utotoni....kuwa nae karibu kama rafiki...akikuuliza maswali usijibu kwa ukali kuwa kajifunza wapi bali mjibu kiupooe huku ukimtahadharisha asijaribu.....
Usiharibu maisha ya mtoto kwa kumweka vijiti