Mbona JK hajavaa makijani yao.yupo na rangi ya huzuni tuu.
Hii mijitu haijui hata birthday yao.Gamba lilizaliwa tarehe 5/02/1977 ila nashanga wanasherehekea tarehe tofauti.
Mkuu siyo kwamba wamesahau, hawa jamaa enzi zile za chama kimoja walikuwa wanalazimisha wakati wa sherehe siku iwe public holiday, sasa wakati huu wa vyama vyingi inabidi kama sherehe zao zinaangukia siku za kazi inabidi aidha wapeleke mbele au warudishe nyuma ilimradi tu iangukie week end.