Sio mbaya ata mimi,nilikuwa hapo lakini nilimake decision kwamba
Nitake,nisitake,nihamue,nisihamue kifo kipo on my side sasa nikaona kama ni hivyo sina haja ya kuogopa kitu naishi nacho kila siku,pole sana ila na uhakika upo kweny 25s kuenda juu ndio muda wa hayo madude kichwani kwa sisi wanaume