Duuu wapi CHAI CHUNGU aka mjeda akusaidie ..
sasa hii ni nini?? Shairi au ngonjera??? Majigo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimi ndio kaniacha hoi kabisa, huu muda wa kutaipu ujinga sijui wenzetu wanaupata saa ngapi!!Duuu wapi CHAI CHUNGU aka mjeda akusaidie ..
sasa hii ni nini?? Shairi au ngonjera??? Majigo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Natyp Ujinga Sio?
Kuna Vyumba Vingi Humu
Wala Hujakabwa!
Natyp Ujinga Sio?
Kuna Vyumba Vingi Humu
Wala Hujakabwa!
Mbona story za masalia zimejaa nyingi sana, kwa nini umelazimishwa????
Lazima tujifunze kukubali juhudi za wenzetu ambao wanajiyolea kwa umahiri wa hali ya juu kuipaisha JF angani.
Kuna guests wengi wanajiunha mara baafa ya kupitia habari kama hizi au zinazofanana.
Majigo wasikukatishe tamaa,endelea kutupa raha.
Mazima Mzee Wa Rula
Ngoja Nipaishe Ile Spid Nataka!