Huna akili
Hutaichagua ccm kisa imeleta umeme mpaka vijijini
Kweli we kilaza
Yaaan nchi yangu Tanzania inagawanwa na haya makina rostam dah
Hivi Tanzania tulimkosea nn rostam hata kutaka kutufilisi nchi yetu kias hiki
Alafu kinachoniuma malofa na wapumbavu wasio wazalendo wanaendelea kushabikia haya mambo pasipokujua lengo la hawa wahaini dah
Hao walioishika kwa muda wa miaka 54 wameifanyia nini cha kujivunia wewe ? UMEME UPO WAPI? MBONA NCHI IPO GIZANI? MBONA SHILINGI INAZIDI KUSHUKA THAMANI? WEWE NI TAAHIRA
VIVA UKAWA!!
Hao walioifikisha nchi hii hapa ndio Hao waliokimbilia Ukawa
Richmond ni Lowasa mhusika pamoja na Rostam
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.
Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .
HAPA KAZI TU
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.
Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .
HAPA KAZI TU
Hawa jamaa apana. Wanataka nn? Daa watanzania tukatae system hi..
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.
Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .
HAPA KAZI TU
Tanzania ina watu wa ajabu sana, kama umasikini unaharibu akili basi hii ndo proof. Watu ambayo tumewapinga kwa karibia muongo mzima. Eti leo ndo tunawashabikia. Hata viongozi wetu vijana akina Mbowe na Mbatia ambao tumewaamini mwaka hadi mwaka, wametugeuka na wameangalia matumbo yao na kutelekeza masilahi mapana ya taifa hili.
Nimeamini wanaoishabikia ccm ni mazezeta wa mwisho tz hakuna mtu anaejielewa anaeza shabikia huu ujinga wanaotufanyia hawa majambazi NI MWEZI WA NGAPI NCHI IPO GIZANI ALAFU UNATAPIKA KUA UMEME ADI VIJIJINI? WE UTAKUA NDONDOCHA SI BURE!
VIVA UKAWA!!!!
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!
Mwenyezi Mungu yupi? labda wa kwako peke yako. Kama Menyezi Mungu ni wa wote Lowassa hawezi kushinda na nina kuhakikishia kwa aslimia zote. Humjui Lowassa na hujui kuwa Lowassa ndo mwanzilishi wa haya yote? Kuna cheo ambacho Lowassa amepata bila kutoa rushwa au kumhonga mtu yoyote katika nchi hii? Muone asikofu Gwajima alivyo utelekeza uasikofu wake kwasababu ya pesa za Lowassa. Kama hujui, uliza uambiwe? Wajumbe wa NEC wa CCM walipewa nini? wakati safari ya matumaini inausaka Urais ndani ya CCM. Lowassa ndo alikuwa na mtindo huo-huo wa kuwatumia hawa TWAWEZA wakati yupo CCM, Siye hatuoni akipambana na lolote kwevye CCM, bungeni au serikalini lakini utafiti ukitoka, ulikuwa unamuonyesha yuko juu ya Dr.Slaa. Tulipiga kelele nyie mkatubeza mukatulazimisha tuamini utafiti wao, wala hata Lowassa hakujitokeza kipindi hicho kuokosoa au kuuchambua au kuupongeza. Imetokea nini? mnataka tena tuupinge utafiti wao? na huku hicho kipindi mlitulazimisha kuuamini? Mwl. Nyerere alisema Rais tunaetaka kumchagua lazima tumtetee wote. Na Siyo kikundi cha watu wachache. UKAWA karibia kila siku wao ni kulalamika na kumtetea Lowassa tu.CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,Maandalizi kabambe ya Goli la Mkono,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti na Wasanii mizigo wakati wana Mabadiliko ni Wananchi ambao hawanunuliki,sombasomba ya wanachama na wasio wanachama kwa malori na mabasi,honga honga ya fedha,kanga,vitenge,Tshirts na Kofia,kejeli na matusi kwenye majukwaa ya Siasa,kusambaratika kwa timu ya watu 32 ya Kampeni ya CCM,n.k!Wana UKAWA tunasema ‪#‎HapaZikaTu!..Lowassa TOSHA KABISA!!..Mwenyezi MUNGU atawaumbua kwa kila Ovu walipangalo!!!