Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo umepeleka wanawake mahakamani wakuombee wakati Mungu hasikilizi Wala kupokea maombi ya watu waliokuwa uchi, watu hata kuoga janaba hawajui, Mungu Gani huyo.
Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii
Oktoba Tunatikiiiiiiiiiiiiii