Nitakavyomkumbuka JK

mie ntamkumbuka JK kama raisi mwenye tabasamu pana na la bashasha kuliko maraisi woote waliomtangulia.....
 
Ni rais aliyejenga shule za sekondari nyingi hadi katika miji ya Waisilamu kuliko maraisi wote waliyomtangulia.

Udini, udini, udini, siku zote najaribu kujiweka kando na hali hii, ukiongezea ukanda na ukabila, please mi uthibitisho wa hili sina so kama una evidence ya jambo hili tuwekee.
 
Mara nyingi mkuu huyu amekuwa akisemwa kwa mabaya tu. Nimetafakari na kugundua kuna mambo atakumbukwa kwayo, mbali na mapungufu aliyo/anayoyaonyesha. Rais huyu amefanikisha sensa ya watu na makazi - sijui ni kwa ubora upi, lakini hilo limefanyika. Huyu ndugu anapigania vitambulisho vya kitaifa. Aikifanikiwa ni jambo la kukumbukwa pia. Aidha, alicho-copy na kinaweza kumpa credit kubwa ni kufanikisha kutupatia katiba mpya ya nchi. Namwomba afanye awezalo japo watanzania tumkumbuke vyema kwa haya!
 
Kwa hiyo aliyepewa sifa hastahili!
 


mkuu achana nae huyo mtoa mada anaweza kua na mtindio wa ubongo mana kuna vingi sana vya kukumbuka na vya maana kwa TAIFA vingi zaid ya ulivotaja apo, kwa mfano daraja la kigamboni kila rais alifunika kombe mwanaharam apite wakakimbia JK kaingiza timu anapambana daraja linajengwa manataka afanye nini mumuone wa mana, kivuko kipya ni nafuu kwa wakaz wa kigambon vp hamuon? mkuu achana nao hao hawana jema wazembe wa fikra hao.
kwangu mimi JK ni bora kuliko JAMBAZ MKAPA, MZEE RUKSA MWINYI but kwa MWALIMU Nyerere ATASUBIRI SANA!
ni mtazamo tu!
 
Ulitaka atumie fedha za nani? hivi ulikwenda NSSF kudai mafao yako ukaambiwa hakuna.

Rais ambaye alitia sahihi sheria dhalimu ya mafao ya wafanyakazi, na kusababisha malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafanyakazi.
 
Rais anayetumia sana TISS ili aendelee kubaki madarakani ingawa kwa majuto!

Rais ambaye ameweka historia ya kuua mwandishi wa habari akiwa anatekeleza majukumu yake ya uandishi wa habari.
 
Rais pekee wa Tanzania aliyeweka historia ya kuwa na wanafunzi waliofaulu kwenda sekondari huku wakiwa hawajui kusoma wala kuandika.
 
Rais pekee katika historia ya Tanzania kwa kumtajirisha mtoto wake hadi kuwa billionea mkubwa sana.
Mtoto wake amemaliza chuo hivi karibuni tu lakini hivi sasa ni bilionea 'wa kufa mtu' aka 'young billionaire !!'
 
Rais aliyejenga chuo kikuu kikubwa Afrika Mashariki na ya Kati, Hii ni college of education pekee, chuo kizima hakiingii kwenye picha moja:

Hapo kwenye red,

Labda ungesema kuwa "...pesa zote zilizoporwa na mafisadi haziingii kwenye account moja ya benki kule Uswisi..." ningekuelewa.
Chuo kizima kinaingia kwenye picha, angalia mfano huu hapa chini...mfano wa Kigamboni city, yote inaingia kwenye picha moja, sembuse hicho chuo kimoja tu !!!
 

Attachments

  • Kigamboni.jpg
    66.8 KB · Views: 41
Kila siku nawaambia jamaa zangu kuwa nitamkumbuka sana kikwete ka kutuingiza chaka na rundo la ahadi za uongo!
kama ile ya " KUUNGANISHA SHULE ZOTE ZA MSINGI TANZANIA NA MTANDAO WA INTERNET" ilhali asilimia kubwa ya shule hizo hazina umeme, miundombinu ya kusapoti hiyo connection, hazina madawati, hazina walimu wa kutosha etc....
 
Na hiyo Kigamboni City ilipigwa picha na nani? Huelewi maana ya concept pictures na photography. Tatizo lako ni elimu, hivi mnafikiri kuelimika ni kukaa kwenye hizo kuta nne tu? humo mnajazwa ujinga bila kujijuwa.
 
Kwa hiyo aliyepewa sifa hastahili!

Rais aliyeweka historia ya ahadi ya 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania' na kufanikiwa kutekeleza ahadi hiyo kama inavyoonekana katika picha hii hapa chini ....

 

Attachments

  • maisha bora.jpg
    42.1 KB · Views: 36
Na hiyo Kigamboni City ilipigwa picha na nani? Huelewi maana ya concept pictures na photography. Tatizo lako ni elimu, hivi mnafikiri kuelimika ni kukaa kwenye hizo kuta nne tu? humo mnajazwa ujinga bila kujijuwa.

Elimu ?? Hebu angalia rais wako ambaye anajiita Dr. Kikwete, labda kwa sababu amesoma.
Sasa angalia huyo aliyesoma, kwenye picha hapo, this is the best he can do katika ujenzi wa Taifa !!!
 

Attachments

  • mrembo.jpg
    11.3 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…