Nitakachofanya hataamini.

wala usimgande mtoto mpe ila kwa maandikishano yaani hakikisha mmeandikishana na useme kabisa anachotaka ni kukutenga na mtoto yaani usimpe kienyeji mwache amchukue
 
Yaani mimi mwanaume akisema achukue mtoto akamlee hata sipati shida. namwachia kwani shida iko wapi.
ila angalia isije kuwa mtoto si wako.. jaribu kupima DNA

Ni kati ya haya mambo mawili:

- Hujawahi kuwa na mtoto.
- Akili zako hazitoshi.
 



Mkabidhi huyo mtoto bila shida, kuna siku atakutafuta tu, Labda kama una wasiwasi ni wachawi kwa wasije mtoa Kafara bure!
 
Unajua uchungu wa kuzaa wew yan ni balaa muache mtoto akae na mama yake usimnyime iyo haki ata kama ulikua unamuhudumia ulikua unafanya majukum yako kaen vzur muyamalize unaonekana unakomand flan hiv jaribu kua polite mtayamaliza tu vzur
 
Hata kulea mtoto asiye wako ni ujinga, tafakari hilo pia.
 
Mama yake na baba yake walishaachana mama kaolewa kwingine na baba yake kaoa kwingine, yeye kakulia kwa shangazi ambaye pia hajaolewa.
haaaaaa kuna wanawake ni kama haja kubwa usipomjamba utamnya tu
 
Mpaka mwanamke anakwambia hivyo ujue baba wa mtoto anamjua yeye lakini Wewe Si baba halali wa huyo mtoto. Check DNA kamanda!!!
 
Duuuuh!! Leo naona ni visasi tu. Hope hamtovijutia mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…