Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Hapo aliemlea ni sister yako wewe Umetoa matunzo kitu ambachoni jukumu lako,Mkuu sister Hapo ndo alalamike kalea kashika nnya,mikojo na vinginevyo ,ila haki unayo yakukaa na mtoto lakini nilivyo wahi kuskia eti sio vizuri kugombania mtotoHata kulea hajalea mkuu nmemchukua ana mwez mmoja!
Kwa hiyo unanishauri Mkuu nilee nikimaliza nimpe?Hapo aliemlea ni sister yako wewe Umetoa matunzo kitu ambachoni jukumu lako,Mkuu sister Hapo ndo alalamike kalea kashika nnya,mikojo na vinginevyo ,ila haki unayo yakukaa na mtoto lakini nilivyo wahi kuskia eti sio vizuri kugombania mtoto
Super women 2[emoji122] [emoji122]
Asije akamtangazia mtoto baba kafariki wakati upo mdogoMuache amchukue, akikua dogo atakutafuta mwenye mkuu.Huwezi kuwa mjinga mkuu, wewe sio wa kwanza kufanya hivyo ili mladi haendi kumdhulu.
Nipo tayari, kieleweke mapema.Ndio hukumlazimisha ila this time naona unamlazimisha. Uko tiyari kupokea majibu,
Mkuu huyu mwanamke wakati nipo namhudumia ujauzito alipoulizwa alisema zahanati kuwa baba mwenye mimba ameshafariki, yaani mimi.Asije akamtangazia mtoto baba kafariki wakati upo mdogo
Kbs yaan hata mm tena naona nimepunguziwa na mzigo wa kukaa tunakumbushana matumizi ya mtoto.Yaani mimi mwanaume akisema achukue mtoto akamlee hata sipati shida. namwachia kwani shida iko wapi.
ila angalia isije kuwa mtoto si wako.. jaribu kupima DNA