Nitaka tunda nitulie..Nitapewaje?

Nitaka tunda nitulie..Nitapewaje?

Status
Not open for further replies.

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
303
Reaction score
657
Tuna miezi sita kwenye mapenzi yetu.
Mimi nampenda sana ila sina hakika kama yeye ananipenda.

Kwa nini sina hakika? Hataki kabisa kunipa tunda...

Nimeshafanya kila kitu kupruv kwake kwamba ninampenda na kiukweli nampenda.

Natoa kwa moyo mweupe msaada wa kifedha na wa aina nyingine anapoitaji au hata hasipoitaji najiongeza kiume.
Kama ni zawadi nampatia.
Attention kama zote anapata toka kwangu kwenye shida na raha. maana yeye kazi hana mwenzangu.

Sasa nimeanza kupatwa na mashaka kama kuna love kutoka kwake sababu hataki kabisa kunipa mzigo, anasema niendelee kuvuta subra na sijui nitasubiri mpaka lini. Maana napata hisia kali sana juu yake. Ila romance fresh ananipa nikitaka game ndio NO.

Kingine hataki kabisa kukanyaga kwangu imagine miezi yote hiyo hajawai kugusa kwangu. kwake mie naendaga kwangu kuja ni mwiko ikifika siku ya kuja kwangu ni excuse za kitoto anaweza hata kusema kichwa kinauma ila never kukanyaga kwangu.
Kingine anachonipa mashaka ana mazoea sana na marafiki wa kiume nikimmaind anasema ni washikaji tu, japo kwa research yangu ya kimya kimya nimegundua hawamgongi. Lakini bado nna mashaka naendelea kutafiti.
Wataalam wa mambo mniambie huyu msichana ni wa kuendelea nae au ni tapeli wa mapenzi nimpige chini?
Huwa nachovyachovya pembeni lakini naona sio fair alafu nataka nitulie na mtu wangu ila mtihani ndio huo natuliaje na mtu asiyenipa mchezo.

Nasemaga sijui nimbake nikiwa nae kwenye gari ila naona sio ubinadamu nitakuwa sina tofauti na mnyama.
mansemaje wakuu?
 
Pole sana mkuu...
Subiri watakuja kukushauri...
Lakini huenda mwanzoni wakati unatongoza alikuambia usubiri mpaka ndoa na ukakubali alafu sasa ivi wewe umesahau.
Ila mkuu mpe mtu kitu kwa sababu umeridhia kumpa sio kwa sababu unategemea malipo kutoka kwake.
 
Sasa aje kwako ili umkanyage

Subira yavuta kheri

Kila la kheri
Sasa nitasubiri mpaka lini maana mpk sasa sinahakika kama anamaanisha kuwa na mimi au ananizingua akisubiri apate anaempenda anikimbie. au akipata kaz si ndio atakuwa anioni ata uku mtaani
 
Pole sana mkuu...
Subiri watakuja kukushauri...
Lakini huenda mwanzoni wakati unatongoza alikuambia usubiri mpaka ndoa na ukakubali alafu sasa ivi wewe umesahau.
Ila mkuu mpe mtu kitu kwa sababu umeridhia kumpa sio kwa sababu unategemea malipo kutoka kwake.
Hapana hatujawai kukubaliana hivyo yeye tu kakomaa. na mimi nampa kampani ya vitu sio ili alipe nampenda tu so sijiskii vizuri akipata shida sema sometime kibinadamu unawaza au yupo kwa ajili ya vitu sio mapenzi maana sioni shida nini kuinjoi nae mpk kusubiri.
 
Hebu funga nae ndoa kwanza, akikunyima tena njoo tukushauri.
mkuu yani tuwe wakweli unafungaje ndoa na mtu hata hamjuani kwenye mambo ya chumbani kwa ulimwengu huu na mie sasa nashawishika kumchiti maana nashindwa kujizuia i wish raha zile anipe yeye
 
Una kau nice guy flan hiv ukiwa nae sasa nayeye anakatumia vzur

Shida ya hawa ndugu zetu ukimtreat vizur kwa kumuheshim anakuona boya flan , wakuja , mjinga mjinga flan

Huyo dawa yake pindua coin hyo anza kumtreat ki bad guy flan hiv akil itamkaa sawa

Mambo ya kuambiana utanipa tukioana wakati kuna wana washapita ni ujinga ambao si wa kukubalika hata kidgo
 
Hapana hatujawai kukubaliana hivyo yeye tu kakomaa. na mimi nampa kampani ya vitu sio ili alipe nampenda tu so sijiskii vizuri akipata shida sema sometime kibinadamu unawaza au yupo kwa ajili ya vitu sio mapenzi maana sioni shida nini kuinjoi nae mpk kusubiri.
Labda na yeye anaona unatumia pesa kumhadaa tu kimapenzi, tena na hivyo una gari,si unajua watu wenye pesa walivyo?

Vumilia tu na yeye anakusoma bado,kama utasusa au la.
 
Sasa nitasubiri mpaka lini maana mpk sasa sinahakika kama anamaanisha kuwa na mimi au ananizingua akisubiri apate anaempenda anikimbie. au akipata kaz si ndio atakuwa anioni ata uku mtaani
kwani mkuu katika kumuuliza uliza, yeye hajawahi ule mchezo? kama amewahi hapo mzingue anakuona bonge la boya ila kama hajawahi mvumilie hata miaka saba mkuu

Nb. Akupe na ushahidi kabisa kama yupo sealed
 
Una kau nice guy flan hiv ukiwa nae sasa nayeye anakatumia vzur

Shida ya hawa ndugu zetu ukimtreat vizur kwa kumuheshim anakuona boya flan , wakuja , mjinga mjinga flan

Huyo dawa yake pindua coin hyo anza kumtreat ki bad guy flan hiv akil itamkaa sawa

Mambo ya kuambiana utanipa tukioana wakati kuna wana washapita ni ujinga ambao si wa kukubalika hata kidgo
Niwe bandidu au sio mzee? Ngoja nijaribu hio style
 
Labda na yeye anaona unatumia pesa kumhadaa tu kimapenzi, tena na hivyo una gari,si unajua watu wenye pesa walivyo?

Vumilia tu na yeye anakusoma bado,kama utasusa au la.
Hata km kumuadaa ndio muda wote nitumie ningeshasepa
 
Alish
kwani mkuu katika kumuuliza uliza, yeye hajawahi ule mchezo? kama amewahi hapo mzingue anakuona bonge la boya ila kama hajawahi mvumilie hata miaka saba mkuu

Nb. Akupe na ushahidi kabisa kama yupo sealed
Alishawai kuwa na boyfriend walizinguana sema namuona pia mjeuri
 
ni bikira?

kama jibu ni no" basi me nahisi ana mtu huyo amekuweka reserve.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom