kama umeamka uchi basi wamekubandua na kondo m.haukuna mbegu wala ute wwte
nawafaham cku nyingi
una maana gan?
suruali/gauni walikuvua?nilikua nina chupi na top 2
nieleweshe inahuu vip?
1.Pole sana rafiki zako hao wa kiume si wema.
2.Waliwawekea madawa ya kulevya mkalewa hamjitambui.
3.Labda baadae wakawapeleka home au gesti.....inawzekana wamekula mande.
4. Au waliwachungulia tuuuuuuuu wakawageuza geuza just for fun kuwajua mmeumbwa vipi just for fun halafu wakaondoka.
MASWALI:
1.JE MLISHAWAHI KUTEMBEA NAO???
2.MBONA NYIE MLIKUWA WATATU WAO WAWILI MMOJA HAKUWA NA MTU???
3.MLIAMKIA WAPI GUEST AU HOME??
4.MLISHAWAULIZA KUWA MBONA HAMUELEWIELEWI???