Nitajuaje kuwa bado niko kwenye vifungo?

1.Niliota napokea wageni kutoka mbinguni, walishuka kutokea kwenye ngazi ndefu iliyofika hadi mbinguni. Wakanishika mikononi mwao kushoto na kulia. Maana yake nini?
2. Niliota nakunywa chai hotelini na Waziri mkuu, baada ya kuishiwa chapati akanambia nichukue kwenye sahani yake. Nikazitandika

3. Niliota naongozana na magufuli kwenda kwenye mgodi Fulani Wa dhahabu, kisha nikaona nakimbia na dhahabu kubwa sana nzuri. Watu naowafahamu wakawa wananikimbiza ili waichukue lakini hawakuniahika maana nilikutana na watoto wawili wanacheza barabarani wakanionesha njia

4. Niliota Niko morogoro, kisha akatokea nabii mwanamke akiwa na watu wengi nyuma yake, akaniita akasema : wewe ndiyo Fulani? Nikamwambia ndiyo. Akasema haijalishi wamefanya nini, wewe utakuwa tajiri sana katika nchi hii. Mara watu wakanifuata kuanza kupiga picha nami.

5. Niliota Niko ziwani (lake) nikiwasaidia watu kufunga mizigo kwenye mtumbwi, baada ya hapo nikaona mtu upande Wa Pili anavuta nyavu akivua samaki.Nikamsogelea nikaanza kumsaidia kuwatoa samaki kwenye nyavu kuwaweka nchi kavu yeye wakati yeye anaendelea kuvuta nyavu. Walikuwa wengi ajabu! Ila wengi walikuwa bado ni wadogowadogo. Sikuiona sura yake ila alikuwa MTU Mzee Wa miaka mingi kiasi. Nilipotaka kuongea naye ndo kukakucha.

6. Niliota Niko kando ya bahari ugenini. Nikiwa na mwenyeji wangu (aliyekuwa na ndoano) mkononi nikawa naona samaki wengi kando ya bahari. Nikamwomba ndoano ili nivue hapo samaki mmoja, akanipa ila akasema usivue hapa huwa hatuvui huku kuna mambo ya ajabu sana. Basi nikaitupia ndoano halafu nikatoka na bonge LA samaki (Wa blue hivi) kisha tukakimbia kutoka eneo hilo.

7. Niliota Niko kwenye mkutano Wa kitaifa ambapo Mgeni rasmi alikuwa Dr.shein. Wakati anaingia kupitia red carpet alipofika nilipo Mimi (nilikuwa kando ya njia kuelekea jukwaani) akaanza kuongea nami. Tukaongea sana hadi watu wakaanza kushangaa, kisha akaelekea jukwaani.

8. Niliota Niko kwenye mtihani Wa Fulani chuoni. Tuliruhusiwa kuingia na materials maana ulikuwa Wa sheria. Baada ya kishindwa swami Fulani ikabidi nicheki kwenye materials. Nilipofungua hayo materials kumbe ni biblia! Nikajikuta nimefungua kitabu cha NEHEMIA.

NAOMBA UNIJUZE MOJA BAADA YA NYINGINE. I.e ipi inaashiria ubaya au uzuri. Njoo hata PM
mkuu. Karibu.
 
+255 764 205 871
 
Back
Top Bottom