Mkuu chief mara nyingi simu mpya ukiwa dukani aidha ipo kwenye box au chaji imeisha, na wakati mwingine inakua ngumu kwa mwenye duka kukuruhusu uiwekee program.
Je nikitumia njia ya kuchukua information kwenye website ya imei.info itakuakua sawa na hii ya kupitia cpu-z?