tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,784 Reaction score 31,298 Jul 18, 2021 #1 Hivi wadau ili kujua kama namba yako imedukuliwa ama la unaangaliaje kwa menu za simu pasipo kwenda kwenye mtandao husika? Asante.
Hivi wadau ili kujua kama namba yako imedukuliwa ama la unaangaliaje kwa menu za simu pasipo kwenda kwenye mtandao husika? Asante.
nzaghamba JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,236 Reaction score 1,490 Jul 19, 2021 #2 ##002#