tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,297 Jul 18, 2021 #1 Hivi wadau ili kujua kama namba yako imedukuliwa ama la unaangaliaje kwa menu za simu pasipo kwenda kwenye mtandao husika? Asante.
Hivi wadau ili kujua kama namba yako imedukuliwa ama la unaangaliaje kwa menu za simu pasipo kwenda kwenye mtandao husika? Asante.
nzaghamba JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,234 Reaction score 1,482 Jul 19, 2021 #2 ##002#