Kazi anayofanya mke wangu inamfanya arudi wakati mwingine usiku na anapofika huwa ananiambia sababu za kuchelewa kwake kurudi hata hivyo huwa siziamini sana kwani siku hizi waviziaji wa wake za watu ni wengi mno ukiwaliza sababu utawasikia wakisema wanawake wazuri wote wameolewa waliobaki ni shiiida tu.
Anayejua mbinu ya kubaini kwamba mke kagegedwa aniambie ili niwe najiridhisha kila mke wangu anaporudi nyumbani.
Mkuu kubali tu kuwa Duniani kuna hii kitu ya kuibiwa, nina tatizo kama lako na mimi wangu analudi mpaka saa tano kisa kazi tumechelewa kutoka usafiri shida na blah blah kibao. Mi ninachoangalia saa hizi ni future ya watoto sio hizi habari za kuibiwa acha waibe tu na mimi nikitaka si napewa na kinakuwa vile vile.