Nitajuaje ananipenda kwa dhati

kaney

Member
Jun 19, 2012
7
1
I want to know je,mwanaume anayekupenda kwa dhati utamjuaje....coz i dated two guys at different time and all of them walikuwa na lengo moja just sex.....
 
wee mnyime sex tuu ...akibaki basi jua kakupeanda ....aliyekuja for sex hana muda wakupoteza anaomba akiona hamna anachapa lapa
 
I want to know je,mwanaume anayekupenda kwa dhati utamjuaje....coz i dated two guys at different time and all of them walikuwa na lengo moja just sex.....

...huwezi kujua, ...enjoy the experience before it lasts.
 
Kwani wewe unampenda kwa dhati mwanangu? Swali lako ni rahisi na gumu so to speak.Suala la kupendana au la si la kuomba ushauri bali wewe mwenye kufanya utafiti kwa vigezo na viashiria vyako. Tuna viashira na vigezo tofauti ndiyo maana nachelea kukushauri.
 
I want to know je,mwanaume anayekupenda kwa dhati utamjuaje....coz i dated two guys at different time and all of them walikuwa na lengo moja just sex.....

The guy who real loves you can kiss with you for 10 minutes without his hands reaching your pants..
Start your research now:glasses-nerdy:
 
Kati ya hao wawili wewe unampenda nani au wewe unataka kupendwa wewe tuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
All the time imekua damn hard kwa wanawake kutofautisha dhahabu feki na orijinal....anayempenda kweli na anayemtamani....maana dhahabu feki inashaini kupita ya ukweli......ndiyo ilivyo kwa anayetamani madoido mengi, mishemishe kibao kumpita anayekupenda kikweli...!<br><br>Ukiwa kama mwanamke, na ukaamua kumpa mzigo jamaa........next thing, you wait for him to look for you ......akipga kimya hadi wewe umtafute....unajisumbua...will give you more excuses.....anayekupenda atakushukuru kwa mzigo na atakuwa wa kwanza kukusumbua.....! Hii ni ishara kubwa sana......mioyo yao haipo mepesi kuukubali huu ukweli.
 
thanx gus.....i love them both at different time and for real.......yah father of all i love them sincere....
 
kwani wewe kutokana na uzoefu wa hao wawili umejifunza lipi? kwamba wanakupenda au hawakupendi?

then chukua experience kwa mtu wa tatu huyu nenda naye taratibu step by step and take a lesson from each step mkubalie but avoid sex kama miezi 5 to 6 japo ni mingi sana hiyo kwa kizazi then utajifunza kitu
 
ni vgumu jmani now dyz wtu wanapretend sana ili wapte watkacho, lakn nafkiri mkweli ni yule mwenye malengo
muda kkutmiza alichopnga kw wakti, anayeweza kujua kosa lake na kusema sorry,mstarbu. nahisi jamani sna uhakika
 
Back
Top Bottom